Safi sana Mama Joe naona unagusa angle ninazozitaka tupu.
Naona changamoto kubwa ya kufuga mbuzi ni urundikaji wa mbuzi(population density) kwa eneo na ugonjwa unaotesa hasa ni minyoo,
Nakuja na wazo kuwa kama nitawalimia majani na nikatenga eneo maalumu kwa ajili ya kuwalimia virutubisho na ulaji wao ukawa ni wa kuwakatia majani naona ninaweza kuweka mbuzi hata 50 kwa hekari na nikawawekea na eneo la kucheza cheza
Hio mimea uliyoiongelea kama mlonge longe na calliandra kuna bwana mifugo kanitonya hapa kama uatweza kuwalisha mbuzi kama suppliments inawafanya mbuzi waongezeke uwezo wao wa kukua kwa siku kutoka gramu 900 kwa siku mpaka 1200 kwa siku kwa sababu ya high content ya protein, maana yake ni kuwa mbuzi badala ya kukua kwa miezi 6 yeye atakua kwa miezi 4 tu. Hii ni habari njema sana.
Changamoto bado naiona katika masoko. Kama ninatweza kuzalisha mbuzi 30,000 kwa mwaka niaweza kuwaingiza woote sokoni ndani ya mwaka mmoja hata kama ni kwa bei ya jumla ya tsh 60,000 maana nawalisha kwa kuwalimia majani na kuchelewa kwao kuingia sokoni ni hasara sana.
Wana JF,
Nimeona mm pia nitoe testimonial kwa faida ya wajasiriamali wanaopenda kilimo na ufugaji.
Ndoto yangu imekuwa kutafuta ujasiriamali utakaoniwezesha kuachana na ajira at 40yrs.Baada ya kujaribu biashara mbalimbali nikagundua kuwa faida zilizopo kwenye kilimo na ufugaji ni kubwa mno especially kama una kamtaji ka kuanzia kapo.Nikaanza kutafuta mashamba.Nikapata kadhaa ila hili la Maseyu ndilo hasa linazaa matunda.kwa wale wanajua morogoro road,hicho kijiji kipo baada ya bwawani au km6 kabla ya mikese.Shamba lipo km1.5 toka barabarani.Nilinunua eka 100 mwaka 2011.Immediately nikaanza kufyeka na kung'oa visiki.Nikalima eka10 za mahindi na alizeti mwishoni 2012.Nililima eka 2 za tikiti maji.mazao yanastawi si mchezo.masika ya 2013 nikalima eka 20 za alizeti na mahindi.pia nikaanzisha mradi wa nguruwe.
Nilianza na nguruwe 8 jike na dume mmoja.sasa nina nguruwe kama 70 hv.Nilipata changamoto kidogo,nguruwe watatu walikufa.kwa changamoto hizo nimepata uzoefu mkubwa. Mambo mengi kama kuchoma chanjo na kutibu baadhi ya magonjwa naweza kufanya mwenyewe kwa maana madaktari nao ni changamoto.nategemea kuanza kuuza nguruwe wakubwa by April.wadogo nauza though soko lake sio kubwa sana.
Pamoja na upunyufu wa mvuA mazao yangu ya vule yamekomaa.nna tikiti kama eka10 na mahindi kama eka25.
Nextmonth nategemea kulima eka kama 70 hv.nataka kulima mahindi,alizeti,ufuta,mtama na maboga.vyote kwa biashara na chakula ya mifugo yangu.
Nataka niweze kuuza nguruwe 20 kila mwezi by this year.
Mwaka jana nimevuna zaidi ya gunia 200 za mahindi na 150 za alizeti.fuso 2 za tikiti maji.Cha zaidi nimetoa ajira kwa vijana kazaa
Tatizo la maji shambani nimetatua last year kwa ku design bwawa na matank cheap.
Karibuni wajasiriamali,future ipo kwenye kilimo.unauza mazao yako hamna mtu anakuuliza kodi! Hahaa
Hongera sana mkuu,hakika hiki ulichokisema ni mwarobaini tosha kwa wanaotaka kujiajiri,sema tu tatizo kubwa huwa linakuwa ni mtaji,kwani haya mambo huwa si rahisi kama tunavyochapa herufi ktk komputer zetu.inahitaji uvumilivu wa hali ya juu ilikuweza kufikia malengo.
Nikupongeze kwa hili,lakini ni vyema ukaweka wazi maana upatikanaji wa aridhi kubwa kiasi hicho si rahisi namna hii,je ni njia zipi unazitumia kuwa aridhi kubwa kiasi hicho? je unakodi ama ni zako unamiliki? maana hapo ndipo kwenye tatizo,mtaji wa aridhi na mtaji wa pesa
Kazi nzuri kwakweli,hongera sana
Huku ndo kwa kushinda na kupata maujuzi. Sio kila siku lema,kinana,mbowe zitto,
Kaka, heka mia mbona ni tone la mvua mkuu, Kwa hakika ardhi bado bure hapa Bongo, mimi nilinunua ekari60 kwa chini ya laki nne, nikaongeza sasa ninazo mia mbili kama na sabini, haijazidi millioni tano!!! Jamaa naona alinunua millioni 10 eka mia, bado cheap. Kama uko serious unataka maeneo wewe tangaza hapa uone watu wanakuelekeza pa kuyapata. KAMATENI MAENEO KABLA WAWEKEZAJI HAWAJAYAGAWANA! Mimi nna project naitaka sana, bado najikusanya na mtaji, nitahitaji eka kama laki moja sehem yenye mto, nahangaikia kianzio tu, IGEMBE SABHO!
Wana JF,
Nimeona mm pia nitoe testimonial kwa faida ya wajasiriamali wanaopenda kilimo na ufugaji.
Ndoto yangu imekuwa kutafuta ujasiriamali utakaoniwezesha kuachana na ajira at 40yrs.Baada ya kujaribu biashara mbalimbali nikagundua kuwa faida zilizopo kwenye kilimo na ufugaji ni kubwa mno especially kama una kamtaji ka kuanzia kapo.Nikaanza kutafuta mashamba.Nikapata kadhaa ila hili la Maseyu ndilo hasa linazaa matunda.kwa wale wanajua morogoro road,hicho kijiji kipo baada ya bwawani au km6 kabla ya mikese.Shamba lipo km1.5 toka barabarani.Nilinunua eka 100 mwaka 2011.Immediately nikaanza kufyeka na kung'oa visiki.Nikalima eka10 za mahindi na alizeti mwishoni 2012.Nililima eka 2 za tikiti maji.mazao yanastawi si mchezo.masika ya 2013 nikalima eka 20 za alizeti na mahindi.pia nikaanzisha mradi wa nguruwe.
Nilianza na nguruwe 8 jike na dume mmoja.sasa nina nguruwe kama 70 hv.Nilipata changamoto kidogo,nguruwe watatu walikufa.kwa changamoto hizo nimepata uzoefu mkubwa. Mambo mengi kama kuchoma chanjo na kutibu baadhi ya magonjwa naweza kufanya mwenyewe kwa maana madaktari nao ni changamoto.nategemea kuanza kuuza nguruwe wakubwa by April.wadogo nauza though soko lake sio kubwa sana.
Pamoja na upunyufu wa mvuA mazao yangu ya vule yamekomaa.nna tikiti kama eka10 na mahindi kama eka25.
Nextmonth nategemea kulima eka kama 70 hv.nataka kulima mahindi,alizeti,ufuta,mtama na maboga.vyote kwa biashara na chakula ya mifugo yangu.
Nataka niweze kuuza nguruwe 20 kila mwezi by this year.
Mwaka jana nimevuna zaidi ya gunia 200 za mahindi na 150 za alizeti.fuso 2 za tikiti maji.Cha zaidi nimetoa ajira kwa vijana kazaa
Tatizo la maji shambani nimetatua last year kwa ku design bwawa na matank cheap.
Karibuni wajasiriamali,future ipo kwenye kilimo.unauza mazao yako hamna mtu anakuuliza kodi! Hahaa
Tumeweka mifumo ya kuvuna maji ya kutosha.naomba nijue hapo shambani kwako chanzo kikuu cha maji ni nini?
kuna mto wa mwaka mzima?
umechimba kisima?
gharama ya kisima huko ikoje?
ni umbali gani kutoka moro mjini...
Mkuu kwanini usitenge eneo kidogo kwa ajili ya kufuga samaki?Za siku Mama Joe, Naona umeongelea mbuzi hapa, vipi biashara yake kwa Dar inalipa, nina hekari kama 70 hivi Rufiji huko pembeni ya mto na kwa tahmini ya haraka ardhi ya huko inakubali sana majani yale marefu yanayoliwa na mifugo na maji yapo ya kutosha,
Nilikuwa ninampango wa kufuga nguruwe ila naona wakazi wengi pale ni waislamu na mto tunashare nao kwa hiyo kelele ni nyingi si unajua tena, na wao ndio wenyeji wangu.
Kama una info zozote za Mbuzi hasa wale wanao zaa mapacha naomba unipe kwa maana ya bei ya sokoni na ni wangapi wanaweza kutunzwa kwa hekari moja maana nitakuwa nawalimia majani(maji yapo ya kutosha mwaka mzima).
Shukrani sana
Hongera mkuu, sasa uweke na mabwawa ya kufugia samaki utapenda sanaTumeweka mifumo ya kuvuna maji ya kutosha.
Ni km30 kutoka morogoro,ni karibu na mikese
Wana JF,
Nimeona mm pia nitoe testimonial kwa faida ya wajasiriamali wanaopenda kilimo na ufugaji.
Ndoto yangu imekuwa kutafuta ujasiriamali utakaoniwezesha kuachana na ajira at 40yrs.Baada ya kujaribu biashara mbalimbali nikagundua kuwa faida zilizopo kwenye kilimo na ufugaji ni kubwa mno especially kama una kamtaji ka kuanzia kapo.Nikaanza kutafuta mashamba.Nikapata kadhaa ila hili la Maseyu ndilo hasa linazaa matunda.kwa wale wanajua morogoro road,hicho kijiji kipo baada ya bwawani au km6 kabla ya mikese.Shamba lipo km1.5 toka barabarani.Nilinunua eka 100 mwaka 2011.Immediately nikaanza kufyeka na kung'oa visiki.Nikalima eka10 za mahindi na alizeti mwishoni 2012.Nililima eka 2 za tikiti maji.mazao yanastawi si mchezo.masika ya 2013 nikalima eka 20 za alizeti na mahindi.pia nikaanzisha mradi wa nguruwe.
Nilianza na nguruwe 8 jike na dume mmoja.sasa nina nguruwe kama 70 hv.Nilipata changamoto kidogo,nguruwe watatu walikufa.kwa changamoto hizo nimepata uzoefu mkubwa. Mambo mengi kama kuchoma chanjo na kutibu baadhi ya magonjwa naweza kufanya mwenyewe kwa maana madaktari nao ni changamoto.nategemea kuanza kuuza nguruwe wakubwa by April.wadogo nauza though soko lake sio kubwa sana.
Pamoja na upunyufu wa mvuA mazao yangu ya vule yamekomaa.nna tikiti kama eka10 na mahindi kama eka25.
Nextmonth nategemea kulima eka kama 70 hv.nataka kulima mahindi,alizeti,ufuta,mtama na maboga.vyote kwa biashara na chakula ya mifugo yangu.
Nataka niweze kuuza nguruwe 20 kila mwezi by this year.
Mwaka jana nimevuna zaidi ya gunia 200 za mahindi na 150 za alizeti.fuso 2 za tikiti maji.Cha zaidi nimetoa ajira kwa vijana kazaa
Tatizo la maji shambani nimetatua last year kwa ku design bwawa na matank cheap.
Karibuni wajasiriamali,future ipo kwenye kilimo.unauza mazao yako hamna mtu anakuuliza kodi! Hahaa
Ahsante mkuu.na explore hiyo project.nimekuwa na study humu kuhusu ufugaji samaki!vp una ujuzi kuhusu hiliHongera mkuu, sasa uweke na mabwawa ya kufugia samaki utapenda sana

Gunia 25 utakuwa umepata sanaMkuu hongera sana kwa kweli,ni ukweli usiofichika ukidhamiria kwa dhati kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji lazima utakuja fanikiwa tu!kikubwa ni uvumilivu na dhamira,maana mwanzoni changamoto ni nyingi!kwa uzoefu wako mkuu kwa Morogoro ukilima mahindi kitaalamu kipindi cha masika,je katika uvunaji unaweza pata gunia ngapi minimum kwa heka moja?ahsante!
Karibu .kwenye introduction hapo nimeeleza vizuri shamba lilipo. Kijiji kinaitwa maseyu morogoro road kabla ya mikese
Uko wapi tuje kuona darase
Mkuu hebu funguka vizuriMkuu kwanini usitenge eneo kidogo kwa ajili ya kufuga samaki?
Mkuu hizo gunia 25 ni kiwango cha chini au ni cha juu kwa hakari??Gunia 25 utakuwa umepata sana
Wana JF,
Nimeona mm pia nitoe testimonial kwa faida ya wajasiriamali wanaopenda kilimo na ufugaji.
Ndoto yangu imekuwa kutafuta ujasiriamali utakaoniwezesha kuachana na ajira at 40yrs.Baada ya kujaribu biashara mbalimbali nikagundua kuwa faida zilizopo kwenye kilimo na ufugaji ni kubwa mno especially kama una kamtaji ka kuanzia kapo.Nikaanza kutafuta mashamba.Nikapata kadhaa ila hili la Maseyu ndilo hasa linazaa matunda.kwa wale wanajua morogoro road,hicho kijiji kipo baada ya bwawani au km6 kabla ya mikese.Shamba lipo km1.5 toka barabarani.Nilinunua eka 100 mwaka 2011.Immediately nikaanza kufyeka na kung'oa visiki.Nikalima eka10 za mahindi na alizeti mwishoni 2012.Nililima eka 2 za tikiti maji.mazao yanastawi si mchezo.masika ya 2013 nikalima eka 20 za alizeti na mahindi.pia nikaanzisha mradi wa nguruwe.
Nilianza na nguruwe 8 jike na dume mmoja.sasa nina nguruwe kama 70 hv.Nilipata changamoto kidogo,nguruwe watatu walikufa.kwa changamoto hizo nimepata uzoefu mkubwa. Mambo mengi kama kuchoma chanjo na kutibu baadhi ya magonjwa naweza kufanya mwenyewe kwa maana madaktari nao ni changamoto.nategemea kuanza kuuza nguruwe wakubwa by April.wadogo nauza though soko lake sio kubwa sana.
Pamoja na upunyufu wa mvuA mazao yangu ya vule yamekomaa.nna tikiti kama eka10 na mahindi kama eka25.
Nextmonth nategemea kulima eka kama 70 hv.nataka kulima mahindi,alizeti,ufuta,mtama na maboga.vyote kwa biashara na chakula ya mifugo yangu.
Nataka niweze kuuza nguruwe 20 kila mwezi by this year.
Mwaka jana nimevuna zaidi ya gunia 200 za mahindi na 150 za alizeti.fuso 2 za tikiti maji.Cha zaidi nimetoa ajira kwa vijana kazaa
Tatizo la maji shambani nimetatua last year kwa ku design bwawa na matank cheap.
Karibuni wajasiriamali,future ipo kwenye kilimo.unauza mazao yako hamna mtu anakuuliza kodi! Hahaa
Gunia 25 utakuwa umepata sana
Nadhani inategemea na sehemu.pia wenyeji wa morogoro generally ni wavivu.pia kwangu niliambiwa mengi.ni vema ku study hali ya hewa na kujaribu kidogo.kama eka 1 hv .kwa kawaida shamba jipya ndo linaleta mavuno mengiAsante mkuu,unajua mwenyewe nimepata eneo kama heka tano mkoani Morogoro,ila ni shamba jipya (halijawahi kulimwa) nilikua na plan kwa masika hii nipande mahindi heka zote tano,ila kuna watu wananiambia kua mahindi kwa shamba jipya unaweza usipate hata gunia 7 kwa msimu wa kwanza,ukweli walinikatisha tamaha ndio maana nikaona nipate uzoefu wako!
Watu wa morogoro generally ni wavivu na hawajui.nilisikia mengi shambani kwangu pia.kwa kawaida shamba jipya linatakiwa likupe mazao mengi zaidi.Asante mkuu,unajua mwenyewe nimepata eneo kama heka tano mkoani Morogoro,ila ni shamba jipya (halijawahi kulimwa) nilikua na plan kwa masika hii nipande mahindi heka zote tano,ila kuna watu wananiambia kua mahindi kwa shamba jipya unaweza usipate hata gunia 7 kwa msimu wa kwanza,ukweli walinikatisha tamaha ndio maana nikaona nipate uzoefu wako!