Kweli asee hawafai kabisa hawa jamaa tangu January hadi saiv hawajafunga umeme wanataka laki moja, au uwe na refa makao makuu Dar es Salaam, natamani wanirudishie pesa zangu ninunue solar, wezi hawa hawana maana, sijui tutafanyaje sisi wanyonge, kabla ya kulipia wanakuahidi eti baada ya wiki mbili wanakuja kufunga umeme chaajabu wanadai rushwa,, TUMECHOKA KABISAA