kagendelahasi
New Member
- Oct 30, 2018
- 1
- 1
Moja,Huyu mama simfahamu wala terms of reference za ajira yake pia sizifahamu ila inawezekana kuwa analipwa fixed house allowance na yeye ndiye mwenye kuamua akaishi wapi.MALIPO HEWA YA KODI YA NYUMBA YA MKURUGENZI
Huyu mama amelipa Tsh 14milioni kama malipo ya pango ya kuishi mkurugenzi yaani nyumba ya kupanga kwa sababu Manispaa ya Ubungo haimiliki nyumba . Kilichofanyika huyu mama akatengeneza mazingira ya kutafuta hiyo nyumba yeye mwenyewe na mwenye nyumba kulipwa. Ufisadi upo kwasababu hiyo nyumba iliyolipwa Kunduchi bado inakaliwa na mwenye nyumba na huyu mama yeye anaishi kwenye nyumba yake Maramba Mawili Mbezi. Kifupi mama ametakatisha fedha.
KUGAWANA MAPATO KWA % NA KIWANDA CHA URAFIKI (SOKO LA MABIBO
Ufisadi wa pili ni kuwa Manispaa ya Ubungo wamepanga eneo la soko la Mabibo kiwanda cha urafiki. Baadaa ya majadiliano ya muda mrefu (kabla yeye hajaamia Ubungo) makubaliano ilikuwa manispaa iwe inalipa pango la upangaji (rent) kwa kiwanda cha urafiki. Lakini huyu mama anachofanya ni kuwa yale mapato ya serikali yanayotokana na tozo mbalimbali katika soko la Mabibo anagawana kwa asilimia na kiwanda cha urafiki. Baraza la madiwani hatuna taarifa juu ya huo utaratibu, wala hatukushirikishwa kuamua % ya mgawanyo wa mapato. Wapi uliwahi kusikia serikali inagawana mapato na taasisi nyingine. Huo ni ufisadi mkubwa maana hakuna anayejua hizo asilimia zilifikiwaje.
MAHUSIANO MABAYA NA WATENDAJI WAKE
Kwa muda mfupi aliofika hapa tayari ameshagombana na DT kijana mweledi na anayeijua vizuri kazi yake hadi ameamua kukimbilia Manispaa ya Temeke. Issue ni kuwa mama anataka kupanga timu yake ya kufanya ufisadi sasa alishaona kwa huyu kijana na wengine atakwama. Kagombana na kila mtu hapo ofisini kuanzia wafanyakazi wa kawaida hadi wakuu wa Idara, lugha yake ni matusi tena ya nguoni na kujisifia kufahamiana na Waziri mmoja Mwandamizi.
Serikali hebu fuatilieni mwenendo wa huyu mama. Safari ijayo tutaeleza hujuma zake katika ngazi ya kisiasa, na jinsi asivyoheshimu vikao vyetu madiwani kwa kufanya maamuzi yeye binfasi bila kushirikisha Council.
TAKUKURU, vipi lile suala la Mkataba hewa wa ofisi, mmeamua kulifukia?
Nilidhani upigaji serikali za mitaa angalau umepungua! Hakuna eneo lenye mafisadi kama serikali za mitaa!MALIPO HEWA YA KODI YA NYUMBA YA MKURUGENZI

Unachosema ni sahihi kabisa inavyoonekana wapo watu kaanza kuwabana pale ubungo sasa wanaanza kumchafua watumishi wengi wa ubungo pamoja na madiwani wao wengi wao ni wapigaji sana sasa inawezekana kabisa kawabana kwelikweli wameamua kumchafua,sitaki kumtetea lkn huyu mama ni miongoni mwa wakurugenzi bora kabisa na mwaaminifu sana labda awe kaharibikia ubungo,lkn pia kwa mda aliokaa ubungo hautoshi kuanza kuandaa mazingira ya wizi....nimapema mno....Nadhani yule kijana DT aliyeondolewa pale akahamishiwa Temeke anakundi lake lawapigaji ndiyo wameamua kupambana.Moja,Huyu mama simfahamu wala terms of reference za ajira yake pia sizifahamu ila inawezekana kuwa analipwa fixed house allowance na yeye ndiye mwenye kuamua akaishi wapi.
Pili, kile kiwanja ni mali ya Urafiki lakini inawezekana kuwa urafiki pamoja na halmashauri wamekubaliana kuwa halmashauri waboreshe miundombinu ya soko halafu wagawane mapato PPP.
Tatu, Mahusiano ni subject to interpretation. Kama umeingia kwenye taasisi ambayo wafanyakazi wengi ni wapiga dili, hata ufanye vipi maelewano hayawezi kuwepo sijui naye ajiingize kwenye mkumbo huo.
Tuache majungu na kama kuna tatizo lolote lile, kanuni na taratibu zipo na wadau wote tunapaswa kuzifuata.
Kuna rafiki yangu mmoja aliniambia kuwa hakuna sehemu hatari za majungu kama halmashauri za Dar na Mbeya. Sehemu hizo kutoka salama inabidi ujiingize kwenye mitandao yao vinginevyo majungu yatakuondoa na kukuharibia.
Jacob bhana....... Weka jina na address ili taarifa yako ia!inike!MALIPO HEWA YA KODI YA NYUMBA YA MKURUGENZI