Wakuu,
Hizi taarifa za kuwa kuna ufisadi wa kutisha katika mradi wa bomba la gesi kutoka Mtwara kwenda Kinyerezi Dsm ni za kweli ?
Na ni kwanini sasa wenye data kamili wasiziweke hapa ili mpaka Januari 27 Bunge likianza tena tushuhudie uwajibikaji wa watuhumiwa ?
UKAWA wataitoa roho ccm mwaka huu
Wakuu,
Hizi taarifa za kuwa kuna ufisadi wa kutisha katika mradi wa bomba la gesi kutoka Mtwara kwenda Kinyerezi Dsm ni za kweli ?
Na ni kwanini sasa wenye data kamili wasiziweke hapa ili mpaka Januari 27 Bunge likianza tena tushuhudie uwajibikaji wa watuhumiwa ?
Wananchi tunataka kujua ukweli kuhusu chanzo cha kifo cha mpendwa wetu aliyekuwa waziri wa fedha Mh. Dkt. William Mgimwa.
He was serving for the interest of the public..
We need to know the secret behind his death..
Nawasilisha...
Pole, mtoto wake amekataa
Mwanae kadai kuwa familia yao haitaki, kifo cha mpendwa wao Dr William Mgimwa kijadiliwe in public.Wananchi tunataka kujua ukweli kuhusu chanzo cha kifo cha mpendwa wetu aliyekuwa waziri wa fedha Mh. Dkt. William Mgimwa.
He was serving for the interest of the public..
We need to know the secret behind his death..
Nawasilisha...
Subiri UKAWA wanakusanya data kwani jamaa hawana pa kutokea, waki solve hili linakuja jingine hadi kieleweke.