Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 3,186
- 4,388
Hata kwenye mahindi kuna changamoto yake. Wewe unajua kununua na kuweka stooo tuu, aujui kuna wadudu kama panya, hali ya hewa na wengineo wanaweza wakaaribu hayo mazao. Kila kitu Kina changamoto. Tumia elimu kujibu maswala ya kielimu
M sijalazimisha afanye biashara tajwa,nilichofanya ni kuonesha njia tu kwani biashara ziko nyingi.Kwangu Mimi kama Nina milioni 2 ni bora inifie kwenye biashara ambayo ninauhakika wa kupata faida Mara mbili kuliko kuwapelekea watu then wanipangie gawio LA kunipa au kutonipa.Hata kwenye mahindi kuna changamoto yake. Wewe unajua kununua na kuweka stooo tuu, aujui kuna wadudu kama panya, hali ya hewa na wengineo wanaweza wakaaribu hayo mazao. Kila kitu Kina changamoto. Tumia elimu kujibu maswala ya kielimu
Chinchilla, hivi ninaweza kuwekeza masoko ya nje nikiwa hapa hapa Tz? Kama ni possible procedure zake zipoje?sikushauri uwekeze huko DSE japo hiyo UTT siijui vizuri, ila soko la hisa bongo halieleweki, huwezi kutabiri mwelekeo wa bei ya hisa kwa kutumia fakta za kiuchumi kama masoko ya nje,.. yaani ni kama unacheza pata potea hivi..kwa kifupi huwezi kutabiri hisa zitashuka lini na kwa nini? wale brokers wanatoa taarifa za uongo feki tu...weka fedha yako benki, hata kwa riba ya 7% kwa mwaka ni bora kuliko DSE...
Asante mkuu, nimepata kitu ktk maelekezo yakoUTT kuna risk ndogo zaidi kuliko DSE.
Kwa uzoefu wangu wa UTT (niko mfuko wa Jikimu) faida iko around 9 -11% kwa mwaka. Hivyo ni mahali pa faida zaidi kwa uwekezaji wa muda mrefu wa fedha kuliko benki.
Kulinganisha uwekezaji katika hisa au UTT na biashara za kawaida ni tenge.
Biashara za kawaida huambatana na risk kubwa sana kulinganisha na UTT
Sent using Jamii Forums mobile app
Faida inapatikana kutokana na kushuka au kupanda kwa hisa zilizopo kwenye hicho kikapu, so kwa mfano UTT ilipanda kwa kasi sana mwanzoni kwa vile walinunua hisa nyingi za CRDB mwanzoni na CRDB ilipanda sana, ila sasa CRDB imetermeka vikali so nategemea growth ya UTT nayo itapungua unless wamebadilisha idadi ya hisa za CRDB katika kikapu chao.
Ni Mifuko ya uwekezaji wa pamoja,
Yaaani,
Kwa kuwa watu wengi hawana UTAALAMU wa UWEKEZAJI wala PESA NYINGI za kuwekeza hususani kwenye TREASURY BILLS, GOVT BONDS, HISA nk, hivyo mnakusanya PESA zenu hapo UTT ili ziwe nyingi ( Kulingana na kitu unachotaka ukipate ) then wao UTT wanao WATAALAMU wa masuala ya FEDHA UWEKEZAJI hivyo watatafuta MAHALI pazuri pa kuwekeza hizo PESA Zenu iwe kwenye HISA DSE, BONDS, TREASURY BILLS n.k na likipatikana GAWIO huko walikowekeza ndio na wewe unapewa, wakila HASARA na wewe UNAKULA.
- Nimejaribu kueleza kwa lugha rahisi, naamini umenielewa.
SAFI SANA MKUU, LABDA HII MIFUKO INAWEZA IKAWA NI SEHEMU YA KUTUNZIA PESA ZAKO AU, NI KAMA BANK TUNi Mifuko ya uwekezaji wa pamoja,
Yaaani,
Kwa kuwa watu wengi hawana UTAALAMU wa UWEKEZAJI wala PESA NYINGI za kuwekeza hususani kwenye TREASURY BILLS, GOVT BONDS, HISA nk, hivyo mnakusanya PESA zenu hapo UTT ili ziwe nyingi ( Kulingana na kitu unachotaka ukipate ) then wao UTT wanao WATAALAMU wa masuala ya FEDHA UWEKEZAJI hivyo watatafuta MAHALI pazuri pa kuwekeza hizo PESA Zenu iwe kwenye HISA DSE, BONDS, TREASURY BILLS n.k na likipatikana GAWIO huko walikowekeza ndio na wewe unapewa, wakila HASARA na wewe UNAKULA.
- Nimejaribu kueleza kwa lugha rahisi, naamini umenielewa.
Exactly, ila kupata pesa zako kila utakapokuwa unazihitaji itategemea na aina ya mfuko uliowekeza. UTT siyo kama BANK maana BANK wanakata mno pesaSAFI SANA MKUU, LABDA HII MIFUKO INAWEZA IKAWA NI SEHEMU YA KUTUNZIA PESA ZAKO AU, NI KAMA BANK TU
Hata kwenye kufuga kuku kuna MDONDO. Hakuna biashara isiyo na risk. The higher the risk, the higher the return.Wakipata hasara na wewe???? Duh ! Ngoja nifuge kuku tu
Mkuu inaonekana we mtaalamu wa masuala haya, ntahitaji msaada zaidi kutoka kwakoHata kwenye kufuga kuku kuna MDONDO. Hakuna biashara isiyo na risk. The higher the risk, the higher the return.
- Tena hao UTT wamekupunguzia risk kwa kuDIVERSIFY pesa zako.
- Kuna watu wanawekeza wenyewe DIRECTLY kwenye HISA, BONDS, n.k na hawaogopi kupoteza
Suala la hasara kwa mwanchama wa UTT huwa halipo,maana faida kila mwaka hutolewa.wao wana mifuko mingi na uwekezaji wao ni mkubwa na mpana lazima kuna mali watapata faida nso maana nao hiyoa gawioNi Mifuko ya uwekezaji wa pamoja,
Yaaani,
Kwa kuwa watu wengi hawana UTAALAMU wa UWEKEZAJI wala PESA NYINGI za kuwekeza hususani kwenye TREASURY BILLS, GOVT BONDS, HISA nk, hivyo mnakusanya PESA zenu hapo UTT ili ziwe nyingi ( Kulingana na kitu unachotaka ukipate ) then wao UTT wanao WATAALAMU wa masuala ya FEDHA UWEKEZAJI hivyo watatafuta MAHALI pazuri pa kuwekeza hizo PESA Zenu iwe kwenye HISA DSE, BONDS, TREASURY BILLS n.k na likipatikana GAWIO huko walikowekeza ndio na wewe unapewa, wakila HASARA na wewe UNAKULA.
- Nimejaribu kueleza kwa lugha rahisi, naamini umenielewa.
Wakipata hasara na wewe???? Duh ! Ngoja nifuge kuku tu
Yes, ni kweli. Niliweka tu hasara ila najua ni ngumu kupata. Ila ikitokea wakapata hasara na wewe utaathirika piaSuala la hasara kwa mwanchama wa UTT huwa halipo,maana faida kila mwaka hutolewa.wao wana mifuko mingi na uwekezaji wao ni mkubwa na mpana lazima kuna mali watapata faida nso maana nao hiyoa gawio