Majini ni viumbe vilivyoumbwa na mwenyezimungu ili vije kumuabudu kama binadamu,jini aliye asi anaitwa shetani ni kama kwa binadamu mwizi na vibaka.Majini hatuwaoni sisi wanadamu ila mbwa na punda wanawaona.Ila jini anatuona sisi bali sisi hatumuoni.Ndio majini wanazaliana na idadi yao ni wengi zaidi ya binadamu,vilevile majini wanakufa ila wanaishi miaka mingi sana zaidi ya miaka 4000 wengine wanaishi na kuna baadhi yao wamewaona mitume waliotangulia.