Naomba msaada kuhusu aina/mfumo wa serekali zanzibar hivi sasa.Je ni .
1.serekali ya umoja wa kitaifa.
2.serekali ya mseto.
3.serekali ya mapinduzi.
Pili upo uwezekano wa aidha serekali ya mseto ua serekali ya umoja wa kitaifa kuwa ni serekali ya mapinduzi papo hapo ua ni contradiction of terms we just have to live with?