Ni basic certificateKama Nta level 5 ni certificate na Je Nta level 4 itakua nini?
ok sawa nimeshakuelewa mkuu. asante wadau.Diploma sio miaka miwili, ila kuifikia diploma ndo inakupasa upitie hatua 2.
NTA level 5( technician certificate) mwaka mmoja then baadae NTA level 6 ( diploma)
Kuna baadhi ya vyuo, kila mwaka wa masomo wanatoa vyeti ikiwa mwanafunzi atataka.
Basic certificate (NTA 4) unapewa cheti.
Technician certificate (NTA 5) unapewa cheti.
Diploma (NTA 6) unapewa cheti.
ni kweli mkuu kwa wanafunzi wanaoenda kusomea kozi za afya, mifugo na kilimo wanasoma miaka 3 mpaka kupata cheti cha diploma na sijajua kama mfumo wao umebadilishwa au ni ule ule.Inaelekea mifumo yetu haijatengemaa bado. Tuna level 3 toka basic certificate hadi ordinary diploma. NTA 4 basic certificate, NTA 5 Certificate na NTA 6 Ordinary Diploma. Tofauti inakuja kwenye packaging. Kuna vyuo vinatoa cheti kila ngazi, kuna vyuo vina tenganisha level 4 na level 5 ikienda na level 6 yaani certificate level 4 mwaka mmoja halafu unaingia "diploma course" ambayo ni muunganiko wa 5 na 6. Kana kwamba haitoshi kuna wanao package zote 3 pamoja yaani unadahiliwa kama mwanafunzi wa diploma lakini unapitia level zote 3 kwa mfano hizi technical cilleges za serikali.
Upande wa mifugo na kilimo zamani ilikuwa cheti miaka 2 na diploma miaka 2 lakini naona sasa wanatakiwa wafiti kwenye level 4 hadi 6, hivyo vyuo vingi vinatoa cheti level 4 na 5 pamoja hii inamaanisha unatoka na cheti cha 5. Ukichukua diploma unasoma kwa mwaka mmoja level 6.
Nisichoelewa hizo GPA za Diploma zinahusisha miaka mingapi-NTA level 6 peke yake au miwili level 5 na 6 au yote mitatu level 4 hadi 6. Naona pana kizungu mkuti hapa.
Mfumo wao ni ule ule, rejea kwenye kwenye guidebook ya www.nacte.go.tzni kweli mkuu kwa wanafunzi wanaoenda kusomea kozi za afya, mifugo na kilimo wanasoma miaka 3 mpaka kupata cheti cha diploma na sijajua kama mfumo wao umebadilishwa au ni ule ule.
Ni sahihi tu kwa njia rahisi ni kwamba kama umetoka level 4 ukaaply diploma miaka miwili ule wa kwanza ndio nta level 5 ndio maana wengi kama hawana vigezo vya kuanza certificate Nta level 5 wanaanza basic technician na ukianza Nta level 5 unasoma miaka miwili halafu unaenda kumalizia nta level 6 mwaka mmojaBado mkuu Haijakaa sawa kwangu mimi, navyofahamu
ukifaulu cheti nta level 4 una apply diploma na kozi ya diploma ni miaka 2. ndani ya diploma kuna nta level 5 ambayo ni mwaka mmoja unasoma na mwaka wa pili wa diploma tunaita nta level 6.
Sasa Technician certificate nta level 5 inatoka wapi???? hilo ndio swali langu.
nta level 5 ni mwanafunzi wa diploma mwaka wa kwanza.
sasa ina maana nta level 5 ina cheti ???
kwasababu nimeona tangazo la kazi wanataka vigezo hivyo. mtaalamu wa elimu aje kunielemisha
Bado mkuu Haijakaa sawa kwangu mimi, navyofahamu
ukifaulu cheti nta level 4 una apply diploma na kozi ya diploma ni miaka 2. ndani ya diploma kuna nta level 5 ambayo ni mwaka mmoja unasoma na mwaka wa pili wa diploma tunaita nta level 6.
Sasa Technician certificate nta level 5 inatoka wapi???? hilo ndio swali langu.
Mkuu nina mdogo wangu anataka akasome diploma ya nursingMuongozo sahihi ni kwamba:-
Anaetoka form four ili apate cheti anatakiwa asome NTA level 4 na 5 anakuwa awarded chet
Ataenda kusoma Ordinary diploma mwaka mmoja kupata NTA level 6
Anayetoja advance atasoma miaka 2 yaani level 5 na 6, na hapo hatapata cheti Cha Nta level 5, atapata Cha Nta level 6 ambayao ni Ordinary diploma
Akihitaji kupata NTA level 5, lazima aingilie kwa ufaulu wa kidato Cha nne na sio Cha sita.
Nimepitia hukoo na nina experience pia nimeajirwa Serikali kwa vigezo hivyoooo
Form4 ataanza na level 4Mkuu nina mdogo wangu anataka akasome diploma ya nursing
Ndio kamaliza form 4!
Niko namfanyia application saivi, yeye ataingia kama odirnaly diploma(nta level 6) au basic technician certificate?
Nisaidie hapo mkuu?!!
anataka aanze certificate akiwa level gani sasa?Mkuu kwa ambae ndio anataka aanze cirtficate anaitwaje hapo?
Ivi kama mtu, ana diploma ya pharmacy anaweza akasoma diploma ya clinical medicine au animal health kwa miaka 2 au mmojaKozi ya Diploma sio miaka miwili ni miaka mitatu kwa wote waliomaliza form four na form six, na wale wanaotoka VETA wenye grade one. Grade one ya VETA ni sawa na Level 3 wenyewe hawaiti NTA bali NVA 3 (National Vocasion Award)
Mwaka wa kwanza unakuwa level 4, mwaka wa pili unakuwa level 5 na mwaka wa tatu unakuwa umemaliza level 6 unachomoka na Ordinary Diploma yako safi kabisa. Kuna vyuo vinatoa vyeti kila level unayomaliza ukitaka iwe level 4, 5 au 6 ukitaka.
Waliosoma Certificate miaka ya zamani walisoma miaka miwili kipindi kile mifumo haikuwa ya levels, sasa huyu akitaka kupata diploma ndo atasoma kwa miaka miwili yaani ataanzia level 5 na atamalizia na level 6.
Nilichokiandika ninakijua vizuri sijasimuliwa na aliesimuliwa bali ni true story imenikuta mimi mwenyewe.
Na je kwa chuo cha huria aliemaliza certificate akijiunga na NTA 5 na kufaulu vizuri,,je anaruhusiwa kujiunga na degreeMuongozo sahihi ni kwamba:-
Anaetoka form four ili apate cheti anatakiwa asome NTA level 4 na 5 anakuwa awarded chet
Ataenda kusoma Ordinary diploma mwaka mmoja kupata NTA level 6
Anayetoja advance atasoma miaka 2 yaani level 5 na 6, na hapo hatapata cheti Cha Nta level 5, atapata Cha Nta level 6 ambayao ni Ordinary diploma
Akihitaji kupata NTA level 5, lazima aingilie kwa ufaulu wa kidato Cha nne na sio Cha sita.
Nimepitia hukoo na nina experience pia nimeajirwa Serikali kwa vigezo hivyoooo
Piga one year of foundation then apply chuo chochote ukifauluNa je kwa chuo cha huria aliemaliza certificate akijiunga na NTA 5 na kufaulu vizuri,,je anaruhusiwa kujiunga na degree
Labda hukunielewa,I mean ukiwa na certificate ya chuo chochote,je anaruhusiwa kujiunga chuo cha huria NTA 5 na ukifaulu vzuri anaruhusiwa kwenda degree!??Piga one year of foundation then apply chuo chochote ukifaulu
Naomba unijuze vzuri kiongoz,maana naona una idea za chuo cha huriaPiga one year of foundation then apply chuo chochote ukifaulu