noel mahenge Member Joined Jun 1, 2014 Posts 6 Reaction score 0 Sep 18, 2017 #1 Kuna taarifa kua ajira kwa wahitimu wa community healthy program zimetoka lakini wahusika wapo gizani, kwa anae elewa jamani tujuzane.
Kuna taarifa kua ajira kwa wahitimu wa community healthy program zimetoka lakini wahusika wapo gizani, kwa anae elewa jamani tujuzane.
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,870 Reaction score 6,625 Sep 18, 2017 #2 Aliekwambia anaweza kukwambia zaidi
Kwisense JF-Expert Member Joined Sep 7, 2017 Posts 475 Reaction score 1,144 Sep 18, 2017 #3 noel mahenge said: Kuna taarifa kua ajira kwa wahitimu wa community healthy program zimetoka lakini wahusika wapo gizani, kwa anae elewa jamani tujuzane. Click to expand... Toa maelezo kamili mkuu, vijana wana njaa sana. Zimetoka wapi maana ajira zote hutangazwa kwa umma
noel mahenge said: Kuna taarifa kua ajira kwa wahitimu wa community healthy program zimetoka lakini wahusika wapo gizani, kwa anae elewa jamani tujuzane. Click to expand... Toa maelezo kamili mkuu, vijana wana njaa sana. Zimetoka wapi maana ajira zote hutangazwa kwa umma
noel mahenge Member Joined Jun 1, 2014 Posts 6 Reaction score 0 Sep 19, 2017 Thread starter #4 Alienambia anadai na yy kaambiwa na mkuu wa chuo alokosoma na kumuona tna hawez mana kasafir so nkaona nlilete kwenu Wana jamii forum pengne nanyi mmesikia
Alienambia anadai na yy kaambiwa na mkuu wa chuo alokosoma na kumuona tna hawez mana kasafir so nkaona nlilete kwenu Wana jamii forum pengne nanyi mmesikia
noel mahenge Member Joined Jun 1, 2014 Posts 6 Reaction score 0 Sep 19, 2017 Thread starter #5 Ze Heby said: Aliekwambia anaweza kukwambia zaidi Click to expand... Hapna. Ni mkuu wa chuo flan chenye program hii ila Kwa Sasa hayupo nchin Kwisense said: Toa maelezo kamili mkuu, vijana wana njaa sana. Zimetoka wapi maana ajira zote hutangazwa kwa umma Click to expand...
Ze Heby said: Aliekwambia anaweza kukwambia zaidi Click to expand... Hapna. Ni mkuu wa chuo flan chenye program hii ila Kwa Sasa hayupo nchin Kwisense said: Toa maelezo kamili mkuu, vijana wana njaa sana. Zimetoka wapi maana ajira zote hutangazwa kwa umma Click to expand...
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,199 Reaction score 42,926 Sep 19, 2017 #6 Kada ya afya ajira bado hazijatolewa..kwahiyo asubiri tu