zamani timu nyingi zilikuwa na uwezo wa kuwamiliki wachezaji wenye vipaji ndio maana haikuwa ajabu kuzikuta timu kama bayern leverkusen, valencia, dortmund, fiorentina, stuttgart, deportivo na nyenginezo kujaza mastar kwenye timu zao jambo lililopelekea kuzidi kwa ushindani wa timu.
kwa ufupi hapakuwepo na utofauti mkubwa sana ndani ya uwanja kati ya tabaka tajiri na tabaka masikini.
nyakati hizi hali imekuwa tofauti kwa sababu timu zenye kipato ndio zenye nguvu zaidi ya kutafuta wachezaji wenye vipaji ndio maana si ajabu kukuta timu moja inafuzu robo final ya champions league miaka 6 mfululizo.
huwezi kumkuta mchezaji kama sebastian veron anachezea timu kama lazio kwa sasa.
View attachment 1229406
Hivi upo serious kuwa Madrid ya cr7 ilikuwa tishio kushinda ya akina raul zidane figo carlos kuwa makini na unachosema
upo sahihi na muhanga mkuu wa hayo unayoyazungumza ni jose mourinho na timu zakeLakini pia soka la sasa vipaji vinaporeza nafasi yake uwanjani sasa hivi ufundi wa mwalimu ndiyo unaodictate mchezo
Nafikir haitambui madrid vizur,, madrid wanaitwa galactico ,,,, iker casilas roberto carlos fernando hiero,, Michael salgado thomas gravasen,, guti ronaldo de Lima ivan helguera acha kabisa usitume mtoto dukani
Binafsi mpira umenitoka moyoni siku yaan sipati ladha kama ya zamani na haya maswala ya kupanga matokeo na betting hizi zilivyoshamiri na ikaja VAR ndio kabisa nabakiza starehe ile pendwa tu sasa hivi
upo sahihi na muhanga mkuu wa hayo unayoyazungumza ni jose mourinho na timu zake
Ile head ya didier hukuiona ..wakati Muller anashangilia akijua washanyanyua kwapa ..then anatokea Didier pasipojulikana yani Dakika za lala salama kabisa ...bongee la header unforgettable... Ingawa hata iyo uliyosema ilikuwa kali lakini badae ilikuja kuwa nyepesi sana maana mapema tu Madrid aliongeza bao nyingine za kushato ..ila hii ya Chelsea na Bayern acha bwana..[emoji3][emoji3]mkuu ungenambia final ya mwisho yenye ubora ni ya at madrid na real madrid ningekuelewa ya 2014 athletico anaongoza goli moja dakika ya 89 Simeone anawainua mashabiki. anatokea ramos anapiga head matata na kuwasawazishia ngoma inaingia extratime madrid wanafanya comeback
Mwanamke akitaka nimuache anishauri niache kuangalia football tournament za ulaya hasa uefa, wacha kabisa tena kwenye big screen,noma sana.Kila time na moments zake. Kila Eufa ni nzuri kwa kipindi chake. Sijui Messi angempita Gatusso hutakaa upate jibu maana kila mmoja kacheza wakati tofauti.
Enjoy soccer Bwana. Tukutane tarehe 22/10,23/10.Fainali yangu ya kwanza kuangali ni pale Man united walifanya come back na ndo chanzo mimi kuwa shabiki wa Man united. Sijaacha kuangalia UEFA CL tokea kipindi hicho na ninaenjoy kila moments.
Naunga mkono hoja afu nakazia kabisa.Uefa ya mwisho yenye ubora wake iliisha 2012 ambapo Chelsea alikuwa bingwa..
Na magoli yake ya kubaatisha.mpira umeisha ladha,lukaku ananunuliwa kwa 70m+!!!...wanarukaruka tu
Habarini Wanamichezo.
Mimi si mkubwa sana wa Umri lakini Nina kumbukumbu nzuri sana ya soka ya kuanzia mwaka 1997.
Nina kumbukumbu ya tournaments mbalimbali mfano EPL na Champions league ya Ulaya (UEFA)
Nimekuwa nikisema mara kadhaa kuwa kuna aina flan flan ya Wachezaji ama Timu ambazo ni ngumu kuziona, kuzikuta katika miaka hii.
Ule Uzalendo, Useriousness na hata Ukakamavu na zaidi kumaintain kiwango stahiki ni TOFAUTI KABISA.
Kwa mfano, tazama Bayern Munich ya zamani, tazama Real Madrid ya kina Zidane au FC Porto tu ya zamani na sasa, sijui tatizo ni nini.
KWA MFANO, katika picha ifuatayo...ni kikosi cha AC MILAN ya Italia, hivi ni kwa vipi ambavyo hata Barcelona ya leo au Real Madrid angeweza kuifunga timu hii?
Hivi kweli Messi angeweza kumchenga na kumpita Gattuso, Cafu na Maldini akafunge?
Ni rahisi kumkaba na kuwazuia Shevchenko, Seedorf na kaka kufunga?
Naomba Tafakari yenu Wadau...hasa Wakongwe kwenye soka.View attachment 1229377
Habarini Wanamichezo.
Mimi si mkubwa sana wa Umri lakini Nina kumbukumbu nzuri sana ya soka ya kuanzia mwaka 1997.
Nina kumbukumbu ya tournaments mbalimbali mfano EPL na Champions league ya Ulaya (UEFA)
Nimekuwa nikisema mara kadhaa kuwa kuna aina flan flan ya Wachezaji ama Timu ambazo ni ngumu kuziona, kuzikuta katika miaka hii.
Ule Uzalendo, Useriousness na hata Ukakamavu na zaidi kumaintain kiwango stahiki ni TOFAUTI KABISA.
Kwa mfano, tazama Bayern Munich ya zamani, tazama Real Madrid ya kina Zidane au FC Porto tu ya zamani na sasa, sijui tatizo ni nini.
KWA MFANO, katika picha ifuatayo...ni kikosi cha AC MILAN ya Italia, hivi ni kwa vipi ambavyo hata Barcelona ya leo au Real Madrid angeweza kuifunga timu hii?
Hivi kweli Messi angeweza kumchenga na kumpita Gattuso, Cafu na Maldini akafunge?
Ni rahisi kumkaba na kuwazuia Shevchenko, Seedorf na kaka kufunga?
Naomba Tafakari yenu Wadau...hasa Wakongwe kwenye soka.View attachment 1229377
Mpira wa siku hizi ni score tu, ndio maana wachezaji wakipata mpira wanakimbilia mbele kwenda kufunga tofauti na mpira wa kipindi cha kina Gaucho ambacho ufundi ulitawala zaidi. Mtu anaveshwa kanzu, anavuliwa, anashushiwa na tobo.nenda youtube,sio mbali..afu utarudi kuniambia nani mwamba..gaucho ni starehe kumtazama,messi aliwapa waarab viatu,wakamrudishia,lakini waarabu wakagombea viatu vya gaucho
ni kweli jomb anachosema hata rekodi zinawabeba mkuu messi na ronaldo wamefanya mengi ukiachana na pele
rekodi kitu gani wewe!!!..kufunga magoli inategemea na timu unayocheza na ubora w wapinzani wako,barcelona hata nicklas bendtner angefunga goli 40 kwa mwaka
Daa kweli aise nikikumbuka mechi ya mtoano mwaka 2003, Manchester United ya akina Rio Ferdinand, Wes brown, David Beckham, Van Nestroooy, nevel brothers, Nick Batt, Fabian Bathez dhidi ya Real Madrid ya kina Claude Makele, Ronald9, Zinedine Zidane, Ruis Figo, Raul Gonzalenz, Roberto Carlos, Ika Casilas, kwa kweli nauona usiku wa Ulaya ukiwa unapoteza radha, Sasa tunaenda kumuangalia Mason Mount badala ya Frank Lampard, Jesse Lingard badala ya Ricardo Kaka, Jordan Henderson badala ya Genarro Gatuso, Michael Ballack Lucas Versques Karim Benzema badala Van Nestroooy, Andre Shevchenko, Didier Drogba, De Lima. Eti Leo Erick Bailly, Fikayo Tomori wanacheza UEFA wakati sisi tulizoea kuwaona Lucio, Ferdinand, Vidic, Soul Camplel, Allesandro Nesta, Jap Stam, John Terry, Ricardo Cavalho e.tc unaweza kuona hapa tulikuwa tunaenda kuangalia vitu viwili, kwanza Mpira wenyewe kwa ujumla, lakini pia Battle ya mtu mmoja na mwingine, yaani Zidane anavotoana jasho na Paul Scholes, au Genarro Gatusso( kaangalie mechi ya Nusu fainali 2003 Juventus anakufa 3-0 Santiago Bernabeu, halafu Madrid anakuja kufa 4-0 pale Turin), Rio Ferdinand anavokabana koo na Ronald9, nyie acheni bana, Sasa hivi unaweza ukawa unaangalia mpira ukajikuta hata hunconcertrate kwa sababu tu ya mbwembwe za Kidukulilo, miaka hiyo mpira unapigwa kika sekunde lazima ukoncerntrate!
Liverkusen ile iliyofika finally na Madrid na kufungwa kwa tabu gori moja la maajabu na Zidane, Kitasa Lucio, Michaek Ballack kwenye kiuongo, unaoona mpira uliojaa aina zote za udambwi, kuanzia mpira wenyewe, uwezo binafsi, bila kusahau ubabe!Vipaji vilikua vingi sana miaka ile aiseee ndio maana ulikuta timu kibao zina wachezaji karibu first eleven vipaji tupu........kitasa lucio na ubora wake anachezea leveekusen