Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,929
- 40,599
Ndio Umemaliza?????
Mmmmh malizia uilete aisee hbr mpya kwangu hiiSijamaliza mkuu, kuna explanation naicopy, nimeshindwa kuitafsiri kwa kiswahili.
Ligi itaanza rasmi kesho, na DSTV wana rights za kuonyesha game hizo.
Hivi hii ikoje?
So weekend hii hakuna games za epl, laliga, seria A etc lakini mbona msimu huu wachezaji watakua na mechi nyingi sana si watakua wanachoka... Naona kesho Germany na France
Bongo nyoso tu huku... Game ya Milambo na Lipuli iko pale pale.So weekend hii hakuna games za epl, laliga, seria A etc lakini mbona msimu huu wachezaji watakua na mechi nyingi sana si watakua wanachoka... Naona kesho Germany na France
Umefafanu vyema sana mdau!Ni kwa timu za Taifa 55 Ulaya.
Wamezi grade kwa viwango vyao na kuzipa categories A (12), B (12), C (15) na D (16).
Kila category inakuwa na makundi manne yenye timu 3 au 4.
Bingwa wa kila kundi Category A anafuzu nusu final, so bingwa wa mashindano anatokana na category A na atapewa tuzo.
Game za makundi zinachezwa kwa mfumo w home and away.
Winners wa makundi Category B wanapanda kwenda A, vivyo hivyo kwa C kwenda B na D kwenda C.
Wanaokuwa wa mwisho kwenye makundi wanashuka level.
Kuna nafasi ya kuqualify Euro Cup kupitia mashindano hata kwa timu itakayokuwa imefanya vizuri ila haikuweza ku-qualify kupitia utaratibu wa kawaida.
Sawa ila kuna tofauti kati game za kirafiki na hizi za kuwania kombe, maana hizi wachezaji wanatakiwa kujituma kweli.... Watachoka sana na tutegemee injuries za kutosha otherwise schedules iwe nzuriRatiba ya International Games ni sawa na ya kipindi cha nyuma, isipokuwa badala ya kucheza friendlies, watacheza hizi games, friend matches zitapungua.
Na pia italeta mvuto.
Asante kwa ufafanuziNi kwa timu za Taifa 55 Ulaya.
Wamezi grade kwa viwango vyao na kuzipa categories A (12), B (12), C (15) na D (16).
Kila category inakuwa na makundi manne yenye timu 3 au 4.
Bingwa wa kila kundi Category A anafuzu nusu final, so bingwa wa mashindano anatokana na category A na atapewa tuzo.
Game za makundi zinachezwa kwa mfumo w home and away.
Winners wa makundi Category B wanapanda kwenda A, vivyo hivyo kwa C kwenda B na D kwenda C.
Wanaokuwa wa mwisho kwenye makundi wanashuka level.
Kuna nafasi ya kuqualify Euro Cup kupitia mashindano hata kwa timu itakayokuwa imefanya vizuri ila haikuweza ku-qualify kupitia utaratibu wa kawaida.
Sawa ila kuna tofauti kati game za kirafiki na hizi za kuwania kombe, maana hizi wachezaji wanatakiwa kujituma kweli.... Watachoka sana na tutegemee injuries za kutosha otherwise schedules iwe nzuri
Daah Mkuu umenisaidia kuelewa.. Nilikuwa nashangaa what da heck is uefa nations league.. Thanks sana [emoji120]
Zinaanza leo mkuuDaah Mkuu umenisaidia kuelewa.. Nilikuwa nashangaa what da heck is uefa nations league.. Thanks sana [emoji120]