Vitu vngne n kujiongeza tuu, ukiona timu yako inacheza na timu ambayo haiwez kuishinda, Cha kufanya unabaki na unazi wako kweny timu yko halaf halaf mpnzan wako unambetia ashinde, ili usikose kote kote, sasa mtoa mada inaonesha n Bayer M, halaf kabet kampa Bayern M tena, hesa imeenda na ushnd umeenda