UDSM Transcript hutolewa wakati gani?

wa log

Member
Joined
Jul 1, 2015
Posts
76
Reaction score
54
Ivi kwa chuo cha UDSM wanatoa Transcript mara baada ya matokeo ya mwisho kutoka, au mpaka cheti kitakapokamilika.

Msaada.
 
After graduation kesho yake nenda kachukue
 
Kuanzia dec 31, changu nilichukua wiki ya kwanza janu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…