UDSM online learning

Imekaa vzur
Online ndo mpango mzima. Vijana stukeni tafuteni pesa. Achaneni na mambo ya kushinda hosteli kutwa badala ya kufanya vibarua huko mtaani mpate pesa ya kujikimu
**Tukumbuke Bodi haitoi mikopo kwa wazee wa kudownload (online)
 
Wakuu naona mabadiliko yameanza ktk elimu yetu
View attachment 1100721
Hii ni hatua kubwa sana. Nadhan wameona waende mbali zaidi, lakini pia ushindani katika soko. OUT wameleta mapinduzi makubwa sana katika elimu hasa kupitia distance learning.
Hawatoi PhD?
Big up UDSM. njoo upambane na OUT
 
OUT wapambane na TEKU si UD
 
Wanatoa shahada za kudownload? Ama ni uzamili na uzamivu tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…