admission letter kuwekwa mtadaoni unaamanisha nini..?Inashangaza hawa jamaa wao wanasema eti admission letters znachukuliwa chuon,kwan kulikua kuna ugumu gani kama mngeziweka kwenye mtandao ili kila mtu aweze kuzipata kiurahc kama vyuo vingne walivyofanya?wengine huku inatuwia vigumu kujua ni kiasi gani cha pesa tunazotakiwa kuja nazo hapo mjini bana!
Inashangaza hawa jamaa wao wanasema eti admission letters znachukuliwa chuon,kwan kulikua kuna ugumu gani kama mngeziweka kwenye mtandao ili kila mtu aweze kuzipata kiurahc kama vyuo vingne walivyofanya?wengine huku inatuwia vigumu kujua ni kiasi gani cha pesa tunazotakiwa kuja nazo hapo mjini bana!
Waungwana tujitahidi masuala mengine tuwe tunauliza kwanza,sasa admission letter waweke vipi kwenye mtandao. Hiyo barua ndiyo itakuongoza mpaka kufanyiwa usajili hapo chuoni. Kama ushaona jina lako mtandaoni nenda chuo kachukue barua.
admission letter kuwekwa mtadaoni unaamanisha nini..?
maana ile inakuwa na reference amabyo mara nyingi ndio admission namba yako .. kuhusu gharama zote zinahusika ziko kwenye tangazo la kufungua chuo nazipatikan kwenye hiyo website unayosema
vinginevyo sijakuelewa ila ADMISSION LETTERS ni kwa individual either wakutumia kwa njia ya posta au email na hii naona wao wanaona ni usumbufu ukifika wanakupa barua yako halafu unaanza process za registration .. admission letter mwanzoni ndio kitambulisho chako
mkuu,me niko mkoani.alafu kwan zle barua ambazo anatumiwa mwanafunz kwa ajili kuambiwa kuwa kawa admitted zenye maelezo ya ada inayotakiwa na michango mingne pamoja na ile medical form huwa znaitwaje?