UDSM ipo kozi ya Ujasiliamali?

conductor

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
838
Reaction score
715
Habari wadau, naulizia Kama UDSM au Chuo chochote hapa chini kinachotoa KOZI fupi ya ujasilia Mali.anisadie kunambia utaratibu wa kujiunga.
 
mi nauliza ya FOREX kama wanayo maana uswahilini buh_bah nyingi!
 
Habari wadau, naulizia Kama UDSM au Chuo chochote hapa chini kinachotoa KOZI fupi ya ujasilia Mali.anisadie kunambia utaratibu wa kujiunga.

Tembelea website ya Udsm i.e www.udsm.ac.tz

na kisha uingie kwenye link ya Business school utakutana na muongozo maridhawa juu ya kozi mbalimbali wanazotoa zikiwemo za ujasiriamali ngazi ya cheti hadi shahada ya uzamivu.

Pia wana kozi za muda mfupi kwa maana ya ujasiriamali mbinu elekezi.

All the best.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…