UDOM aka CHUO MAJENGO ni cha ovyo sana! Kinaongeza vilaza tz hii. Kozi ya miezi minne inafundishwa kwa wiki mbili,maajabu mengine duniani!
Bora hizo za wiki mbili, kuna kozi mimi nilisoma siku tatu tu.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
unachokisema kiko wazi kabisa!!!! hata mimi mwenyewe nashangaaa na inauma sana pale nilipopata taarifa kwamba hadi kufikia wiki iliyopita wanafunzi wa conas walikua hawajaliona bum la kwanza semister hiii!!!! huu ni uozo na umaskini wa fikra!!!! tutaendelea hivi hadi lini?????
[MENTION][MENTION][/MENTION][/MENTION]
UDOM aka CHUO MAJENGO ni cha ovyo sana! Kinaongeza vilaza tz hii. Kozi ya miezi minne inafundishwa kwa wiki mbili,maajabu mengine duniani!
Visionmary said:mwanafunzi unakusanya matokeo yako toka vitengo mbali mbali, na unajitegenezea transcrip yako kisha unaipeleka utawala wanakungongea tu muhuri imetoka!