vijana wakitanzania tumefikia hatua ya kuamini kila tunachoambiwa hata kama ni dhahiri unachoambiwa kuwa kina dalili zote za uongo. Ndugu yangu udom inawalimu wa kutosha na hakika kimetoa fursa kwa wahadhiri kupiga shule ya nguvu kwa wadogo wetu wa digrii ya kwanza.vilevile kuhusu shahada ya uzamili wahadiri wapo wenye sifa tu, ni madaktari tu ndio wanaofundisha. Ukitaka kuamini hilo wewe mtoa mada kwa dhahiri umeonekana haujaenda shule kwa kushangaa chuo kuwa na parttime lecturer ambapo kuna wahadhiri wa kibongo wanaenda kutoa mhadhara uingereza,ujerumani, nigeria sembesu udom? Hivyo nakushauri fanya application tcu haraka ujiunge udom uone kama utapewa cheti cha bure.