Mimi milichaguliwa multiple selection udom na ifm na nikaconfirm ifm lakini cha kushangaza nmeingia kwenye account yang ya udom nmekuta napo washaconfirm sa nfanyaje jmn

Udom ya saa ivi so kama tuliyosoma zaman kuna jamaa angu anachukua masters pale anadai mambo yamechange sana....achana na historia nenda shule bwana mdogo