Brother James
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 233
- 172
- Thread starter
-
- #21
Mbona kila kitu kipo net tatizo umejaa lawama kwel Udom hutmaliz kijna,prospectus zipo funguo web ya chuo mbona mim nimeona kila kitu,uzuri wa chuo ni wew cio jina la chuo,punguzen lawama kila cku lawama na Div 1 naenda kusom tu hata mponde
..................................Ninapenda niwaombe kwa heshima na taadhima kuwa kama mtakuwa mmeona au kusikia prospectus ya #UDOM ya mwaka wa masomo wa 2013/2014 tafadhali nirushieni kwenye hii thread au kwenye private email🙁james.tanzania@yahoo.co.uk) kwani kuna mambo mengi sana nataka niyachambue kulingana na courses/programmes zilizotangazwa kupitia TCU.
How could on earth, a thin mind like that of yours do an analysis out of the programmes listed in any university prospectus? Unajua ni lini kwa mara ya kwanza prospectus ya chuo kikongwe kama UDSM iliwekwa online ktk page ya chuo na kabla ya hapo tuliokwenda chuo hicho hatukusoma? Pamoja na ukilaza wako unatia aibu kwa unachoandika maana if you are smart enough utatafuta na kujua programme details kabla hujaomba chuo chochote na kuchaguliwa na TCU, sio ujue details baada ya kuchaguliwa.
jaman msaada wana udom vp kuhusu join instruction zimeshatoka au bado,naomben msaada wenu
Duh usingesema wewe ni product ya kwanza mkuu ni aibu product za kwanza za UDOM ndio zile wanazoziengua kwenye ajira ,product za kwanza za UDOM ni bomu hata wahadhiri wenyewe wanajua
mpigamsuli,
Siwezi kukataa ukweli hata siku moja kama uraiani ndio inatafsirika kuwa ni product mbovu huna budi kuwaonyesha kuwa ww personally upo vizuri kwa kuonyesha competence & confidence.
Pamoja na maelezo Tangulizi hapo juu napenda nikujuze kuwa mimi ni first product katika ngazi ya Master Degree na si Bachelor degree....na kwa wakati ule darasa langu tulikuwa watu 9 tu katika fani ya Science, kama kuna watu wa aina hiyo walioonyesha udhaifu tafadhali naomba tufahamishane coz kupitia ujumbe wako ndio mara yangu ya kwanza kusikia kuwa wame-prove failure, otherwise ni Bachelor graduands............OVER
Evelyn,
Somehow nakuunga mkono coz siasa inayoendeshwa UDOM si ya kawaida na wasipokuwa makini itasababisha ubora wa Elimu ya UDOM ushuke sana. Pia bureaucracy na ukiritimba usio na tija umejaa katika ngazi ya UTAWALA....otherwise kama kutafanyika Specializationa na Distribution of Power nadhani kila mtu atatambua majukumu yake. Pamoja na haya maelezo sehemu yoyote ambayo watu huogopana kuwajibishana matokeo yake ni zaidi ya kile tunachokiona UDOM na baadhi ya Vyuo vyetu vya Umma.....OVER.
Hebu kuwa wazi master umesomea UDOM hongera sana kwa usomi wako ila nataka uutangazie uuma kupitia jf kwamba UDOM ni boraa,, swali 1. unasema umesoma master yako UDOM sawa lakini mkuu Kipindi cha nyuma tulisikia kwamba eti UDOM kuna uhaba wa maprofesa na madoctor(PhD) ,sasa basi mtu masters atafundishwaje na mtu mwenye masters mwenzie hebu tutoe hofu mkuu
vice UDOM,
Juzi Chuo Kikuu Cha UDOM wametoa updates kuwa endeleeni kuwa watulivu watatoa karibuni ila tarehe ya kufungua Chuo ni 12 October, kwa hiyo endelea kujiandaa kwa kupitia taratibu zao zinazopatikana kupitia website yao ikiwa ni pamoja na gharama za programme uliyochaguliwa kujiunga nayo................Hongera kwa kupewa fursa ya Kusoma UDOM