samahani naomba kuuliza huko kwenye ALIS inahitajika surname
sasa kwa mtu anayetumia majina mawili tu yeye anajaza nini
maana kuna dogo amejaza la baba ake imegoma kufunguka na anayo mawili tu.