Acha Dhambi Senior Member Oct 19, 2010 145 41 Apr 14, 2011 #1 Naomba kujua ukweli kuhusu habari za ajira kutolewa katika magazeti lakini Udom kuwa excluded
NOT FOUND Senior Member Mar 14, 2011 158 59 Apr 14, 2011 #2 acha dhambi said: naomba kujua ukweli kuhusu habari za ajira kutolewa katika magazeti lakini udom kuwa excluded Click to expand... hatukuelewi unachomaanisha
acha dhambi said: naomba kujua ukweli kuhusu habari za ajira kutolewa katika magazeti lakini udom kuwa excluded Click to expand... hatukuelewi unachomaanisha
M Mongo Member Apr 11, 2011 7 0 Apr 14, 2011 #3 Acha ushamba, kwanza umeskia tu huna uhakika, ka vip ka ulize gazeti husika
mayenga JF-Expert Member Sep 6, 2009 4,118 1,966 Apr 15, 2011 #9 Pengine UDOM ni chuo cha KATA ndo maana kinakuwa excluded!
I Ilonza Senior Member Jan 11, 2011 119 13 Apr 17, 2011 #10 Acha Dhambi said: Naomba kujua ukweli kuhusu habari za ajira kutolewa katika magazeti lakini Udom kuwa excluded Click to expand... Dogo vp? From which source of information.Gazeti la mtu mmoja tu au.Umbea hatutaki. No evidence no right to speak.
Acha Dhambi said: Naomba kujua ukweli kuhusu habari za ajira kutolewa katika magazeti lakini Udom kuwa excluded Click to expand... Dogo vp? From which source of information.Gazeti la mtu mmoja tu au.Umbea hatutaki. No evidence no right to speak.
K kalechee Member Mar 10, 2011 85 4 Apr 17, 2011 #11 Mod naomba hii thread iondolewe coz hakuna m2 til now aliyekuja na majibu ya kueleweka.
ndupa JF-Expert Member Jan 25, 2008 4,403 141 Jun 19, 2012 #12 nadhani ni bora uwe na uhakika kabla ya kuropoka!!!
Wa Bagamoyo Senior Member Apr 2, 2012 118 12 Jun 20, 2012 #13 Dogo umewakwaza watu wa UDOM hahahahaha so sry jamani hahahaha
M mmteule JF-Expert Member Oct 3, 2011 5,504 12,829 Jun 20, 2012 #14 Teh teh teh teh........maembe ya kupepea........... Nje njanooooooooooooooo ndani puchupuchu