UDOM 2 batch selection pdf

TCU wamenichagua UDOM ila kwenye majina ya round ya pili jina langu halipo sasa apa inakuajeee??

Majina ya kwenye link ni Provisional_results yaani matokeo ya awali yanayoonyesha wapi Tcu wamekupendekeza sasa senate ya chuo husika ndiyo wanachambua yupi wamchukua au kumuacha, ushauri wangu wasiliana na Tcu wenyewe mapema wiki hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…