herzygovina mwangosi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 900
- 431
Ndugu wanajamvi,niko na mdogo wangu kike aliyefaulu kwenda kusoma shahada ya medicine katika chuo cha Herbat Kailuki
Naomba kujua kwa ambao wanafahamu agency(ies) ambazo zinatoa udhamini katika masomo haya.
Ntashukuru
Niibox number ake nimsaidie ipu kairuk mwaka wa 2
Huo msaada si Ungetutajia humu, Kwa fikra kama zako Waafrika milele tutaendelea kubaki hiv hiv sababu ya ubinafsi., unaona ukiandika humu watu watafaidi sio?
Shame On You!
mdhamini alikuwa Lowassa sasa dah
Hilo jamaa nilishaanza kufikilia kwa kichwa cha chini baada ya kusikia mwenye shida ni binti...
kama wanavyokusikitia wewe,usiyekuwa na mchango ila kudiscourageHebu ona mwanafunzi wa mwaka wa pili wa HKMU anavyoandika
Walimu wako wakiona watasikitika sana