Udhaifu wa wanawake na wanaume

duu umefunguka.......ila nishakutana na mambo izo mara kibao!
 

Kijana ulichemka bro.... Ingekuwa mkeo keshaliwa hapo
 
hapana mkuu haya mambo nilishayafanyaga sana nanilishaamua kuyaacha ili nifocus future ya wanangu, nilijihoji sana kuhusu kuchukua kuchukua huo mzigo ila majibu niliyokuwa nayapata yali-neutralize hisia zangu zote dhidi ya mwanadada

Kama ni hivyo nakupa HONGERA mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…