Toleo la 4!!
Happy August to all...
1.
Kiranga aamua kuokoka! Ashangaa sana injili ilivyo tamu, nyimbo za kusifu na mapambio vyawa burudani tosha kwake..
Apendelea Kanisa la Gwajima, Kawe.
Kibadilishi kikuu chake bado hakijajulikana...
2. Demu wa
Nyani Ngabu aonekana akimuimbia JK huko Ng'ambo,(DMV) mwenyewe kainasa video husika akereka sana.
Hakujua kama Kuwa Marekani hakumfuti mtu ujinga wote.
Kilichomkera zaidi ni huyo demu wake kuvaa nguo za kijani, Na kusikika akisema shikamoo kubwa kwa mkuu wa kaya ya huku.
4.
Tized awa mganga wa kienyeji.
Mwenyewe adai ni wakurithi..
Ataufanya kwa ukamilifu ili kunusuru maisha yake.
Aazimia kumnasa
Dena Amsi kama msaidizi wake
wa karibu.
Mr Rocky kunyamazishwa, dawa iko jikoni.
5.
miss neddy aonekana Tarime! Yasemekana ni juhudi za kuwin
Excel's love.
Mazingira magumu ya Tarime yamshangaza, akoma kulazimisha ndoa.
6.
masai dada aonekana Tegeta, ni karibu sana na kwa Mzee ODM
Asprin haijajulikana sana alikuwa anatafuta nini...
7. team ant free P yaanza kukosa nguvu, inasemekana wapo member wazungumzaji tu! ila matendo kwao ni ngumu, mpaka sasa wapo wawili.
8.
tumboo azua tafrani Chit chat... ni baada ya kijana aitwae
First Born kupendezwa nae.
atafuta njia ya kumpata, moja ikiwa ni kumwanzishia Uzi na kumwagia sifa kibao.
Mchumbawe
romantic eyes ashtukia deal.
Aamua kukomaa ili isiwe tabu.
9. Hatimaye Paroko
Eiyer asababisha ujauzito kwa moja wa kondoo wake.
Alionywa mara nyingi hakusikia. Inasemekana ni mtego,
Mwenyewe ahaha kuficha taarifa zisifike kwa Kadinali.
'Valentina' azipata habari, aapa kutoachana na Paroko.
10.
Eli79 aonekana kwa mgaga wa kienyeji,
lengo ni kuloga ndoa za watu na kumrejesha
KOKUTONA, akili yake bado haiko sawa.
11.
kan'tangaze ahusishwa na kumhujumu
Mentor siku ya birthday.
Amfyonza hadi Nauli!! M Pesa toka kwa
mwallu yaokoa jahazi.
Kidogo apige mbizi kurejea Kigamboni.
12.
Khantwe amwekea
Ntuzu ulinzi mkali!!
awatahadharisha kina
miss chagga, kutumia viwembe kama silaha yake kuu.
Afanikiwa kudhibiti njia kadhaa za uchepukaji.
Cc;
Khantwe,
janeth1 Honey Faith.
GET YOUR Copy