Hahahahaaaa... nilie kwani ni MSIBA kaka, utamliliaje mtu alie hai... hahahhahaaaa
MWANAUME HALIAGI ikibidi unauma tu meno baasi.
Ukikipigwa bila kutarajia ..inabidi uwe mpole uombe ipasavyo..... akikubali tu... UNAMPIGA CHA MBAVU with immediate EFFECT..chezea men's EGO nini? na ukishasikia harufu tu ya kibuti ..unamuwahi kukishusha fastaaaaaaaaaaa.
Naona leo umekuwa mpoooleee!!!
hahahahah
haya mkuu men's ego ni mbaya sana na ndio inatufanya kuw ana kiburi muda wote
Kujiona tupo sahihi muda wote hata pale tunapoenda au kufanya wrong always tunajiona tupo sahihi
Mkuu changamkia fursa hiyo ais e
OMG Mamndenyi toka lini ukamuona mwanaume anakuwa mpole
Ushawahi kumuona mwanaume anakiri kuwa amefumaniwa hata akikutwa mtupu na mwanamke kitandani anasema nilikuwa namfanyia massage na sio sex
hapa hakunaga cha upole ni mwendo mdundo na niko na miss chagga nampenda sana
teh teh leo naona cheaf bazazi Mentor ametoka mafichoni hivi ndoa yenu lini na mwallu? mtoto wa watu angalia uchumba sugu usije ukakuvizia hizo ndo genuine characteristics za bazazi cc Kaizer na Nicas Mtei
Kwani kasema uongo?????
4. Eiyer Paroko wa jimbo kuu, aachana na uparoko ni baada ya kuyumbishwa na kukubali kuonja penzi la mrembo 'Valentina' mwenyewe kanena u padre siyo deal,
Apanga njama za kumtorosha kwa mumewe rasmi.
janeth1 ahusishwa..
Unamuongelea Valentina au 'Valentina' ?
Sio kila unachokisoma ni kweli!
Huyo huyo, Au we unamuongelea yupi?