Kasinde kaonekana feri akinunua samaki jana akiwa amejitanda baibui na mawani meuzi.. ila watoto wa mjini tumemshtukia.
'Ngilyeinengo Isarya' - 'Nimemkumbuka Isarya' huyu isarya atakuwa mchumba wake wa zamani enzi izo bado anaishi uchagani.
Kaka yetu kwa wiki hizi mbili tu katupatia mawifi wawili..hapana chezea ngosha
Hadi uniletee gari yangu ndo ntapokea shkamoo yako
Na haraka haraka......
Eeeh? Unasema?
Ila Yule mmoja miss chagga alitaka kunifanya HANDSOME POCHI YANGU MWENYEWE MBEBAJI!
Mmmmh kanishinda kabisa!
Bora Khantwe wangu!
Yule mwingine KOMANDO WA JESHI!
Cc: miss neddy
Tuna kaka wengi sie
haya sasa sema tena na leo, shikamoo
Hasa ukibahatika kuzaa warembo
ameshapewa kitu kingine jipyaaaa huyo bi mkubwa.... sijui lenyewe litaexpire baada ya siku ngapi maanake huyo kizaa chema kwa ubisho simuwezi
Duh...yule mkalii.angetufarakanisha
Hahahaaaaa!
Ata kipondo tungepata!
Wageni ungewaskia kwa majirani...loo