Fradam98 Member Joined Sep 10, 2018 Posts 20 Reaction score 14 Sep 14, 2018 #1 Habari zenu wapendwa.Naomba kuuliza juu ya kozi iitwayo bachelor of education in science inahusu nn asa,pia pia yafaa mtu Ku specialize katika masomo yapi hasa.physics,chemistry au biology? Kulingana na soko la ajira
Habari zenu wapendwa.Naomba kuuliza juu ya kozi iitwayo bachelor of education in science inahusu nn asa,pia pia yafaa mtu Ku specialize katika masomo yapi hasa.physics,chemistry au biology? Kulingana na soko la ajira
Pain killer JF-Expert Member Joined Aug 15, 2017 Posts 14,365 Reaction score 21,747 Sep 14, 2018 #2 Specialize kwenye physics mkuu
Fradam98 Member Joined Sep 10, 2018 Posts 20 Reaction score 14 Sep 15, 2018 Thread starter #3 Pain killer said: Specialize kwenye physics mkuu Click to expand... Shukrani
Kigoma Independent JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 3,520 Reaction score 2,059 Sep 15, 2018 #4 Piga physics& chemistry utayaona mema ya nchi
Fradam98 Member Joined Sep 10, 2018 Posts 20 Reaction score 14 Sep 15, 2018 Thread starter #5 Benson Rayson said: Piga physics& chemistry utayaona mema ya nchi Click to expand... Nashkuru,ila kulingana na matakwa ya kozi naskia ni somo moja tuu unatakiwa kusoma that's why naulizia kuihusu
Benson Rayson said: Piga physics& chemistry utayaona mema ya nchi Click to expand... Nashkuru,ila kulingana na matakwa ya kozi naskia ni somo moja tuu unatakiwa kusoma that's why naulizia kuihusu
Kigoma Independent JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 3,520 Reaction score 2,059 Sep 15, 2018 #6 Fradam98 said: Nashkuru,ila kulingana na matakwa ya kozi naskia ni somo moja tuu unatakiwa kusoma that's why naulizia kuihusu Click to expand... Ka Ni moja piga physics
Fradam98 said: Nashkuru,ila kulingana na matakwa ya kozi naskia ni somo moja tuu unatakiwa kusoma that's why naulizia kuihusu Click to expand... Ka Ni moja piga physics
Fradam98 Member Joined Sep 10, 2018 Posts 20 Reaction score 14 Sep 15, 2018 Thread starter #7 Benson Rayson said: Ka Ni moja piga physics Click to expand... Thanks brother