S shasa shamer New Member Joined Feb 21, 2019 Posts 4 Reaction score 0 Jun 29, 2019 #1 udom wanasema wamefungua udahili lakini ukiingia kujisajiri unapata account tu, na vingine vyote haviwi active kama kulipia kwa simu n.k sjui kwanini
udom wanasema wamefungua udahili lakini ukiingia kujisajiri unapata account tu, na vingine vyote haviwi active kama kulipia kwa simu n.k sjui kwanini
G Greatness is within Member Joined Apr 16, 2018 Posts 92 Reaction score 60 Jun 29, 2019 #2 shasa shamer said: udom wanasema wamefungua udahili lakini ukiingia kujisajiri unapata account tu, na vingine vyote haviwi active kama kulipia kwa simu n.k sjui kwanini Click to expand... Hata na mimi nimeliona hilo nimewapigia kwa namba za help desk wakaniambia wameruhusu Ku apply kuanzia 24/06/2019 lakini ukiingia inasumbua
shasa shamer said: udom wanasema wamefungua udahili lakini ukiingia kujisajiri unapata account tu, na vingine vyote haviwi active kama kulipia kwa simu n.k sjui kwanini Click to expand... Hata na mimi nimeliona hilo nimewapigia kwa namba za help desk wakaniambia wameruhusu Ku apply kuanzia 24/06/2019 lakini ukiingia inasumbua
S shasa shamer New Member Joined Feb 21, 2019 Posts 4 Reaction score 0 Jun 30, 2019 Thread starter #3 Greatness is within said: Hata na mimi nimeliona hilo nimewapigia kwa namba za help desk wakaniambia wameruhusu Ku apply kuanzia 24/06/2019 lakini ukiingia inasumbua Click to expand... Au pengine hadi nacte wafungue dirisha la usajiri ndo na wao wataziweka link active kusudi kulipia hiyo buku 10 ya usajiri. Unajua nacte bado hawajafungua dirisha. Em tusubiri.
Greatness is within said: Hata na mimi nimeliona hilo nimewapigia kwa namba za help desk wakaniambia wameruhusu Ku apply kuanzia 24/06/2019 lakini ukiingia inasumbua Click to expand... Au pengine hadi nacte wafungue dirisha la usajiri ndo na wao wataziweka link active kusudi kulipia hiyo buku 10 ya usajiri. Unajua nacte bado hawajafungua dirisha. Em tusubiri.