Udahiili wa wanafunzi SAUTI

pappie emma

Member
Joined
Sep 21, 2016
Posts
9
Reaction score
2
naomba mtu yeyote anaejua kuhusu udahili wa wanafunzi wa mwaka wa masomo 2016/2017 ya sant augustine university(SAUT)na tarehe za kureport na majina yaliotoka anifahamishe
 
naomba mtu yeyote anaejua kuhusu udahili wa wanafunzi wa mwaka wa masomo 2016/2017 ya sant augustine university(SAUT)na tarehe za kureport na majina yaliotoka anifahamishe
Hawa majina hawaja yamwaga ingawa wanasema October 3 2016 ndio mwanzo wa kuriport. Nahisi muda wowote kuanzia kesho wataweka list ya selected candidates.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…