Barcelona na liver hawawez kutana final,Team za spain mara nyingi zimekuwa zikifanya vizuri katika michuano hii mikubwa ya ulaya kwa ngazi ya vilabu. Zina mikakati haswa pale zinapotinga fainali, hasa kwa Barca na Real Madrid. Hii ni tofauti na vilabu vya Uingereza ambavyo vimepoteza fainali nyingi dhidi ya team za spain. Kuanzia Arsenal 2006, Manu 2009, 2012, Liverpool 2018.
Na endapo liverpool itafuzu usiku wa leo, basi kuna nafasi kubwa ya kwenda mpaka fainali. Kwa upande mwingine karata yangu naiweka kwa Barcelona kufuzu fainal hivyo kukutana na Liverpool katika hatua hiyo ya mwisho.
Barca vs Liverpool fainali UCL na Barca nawapa nafasi ya kunyanyua ndoo. Save this post.
Sent using Jamii Forums mobile app
NaeditBarcelona na liver hawawez kutana final,
Final ni liverpool vs man city
Man city anachukua ubingwa aaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
chief, Liverpool akiingia fainali Barca atakuwa ameishia nusu fainali.Team za spain mara nyingi zimekuwa zikifanya vizuri katika michuano hii mikubwa ya ulaya kwa ngazi ya vilabu. Zina mikakati haswa pale zinapotinga fainali, hasa kwa Barca na Real Madrid. Hii ni tofauti na vilabu vya Uingereza ambavyo vimepoteza fainali nyingi dhidi ya team za spain. Kuanzia Arsenal 2006, Manu 2009, 2012, Liverpool 2018.
Na endapo liverpool itafuzu usiku wa leo, basi kuna nafasi kubwa ya kwenda mpaka fainali. Kwa upande mwingine karata yangu naiweka kwa Barcelona kufuzu fainal hivyo kukutana na Liverpool katika hatua hiyo ya mwisho.
Barca vs Liverpool fainali UCL na Barca nawapa nafasi ya kunyanyua ndoo. Save this post.
Sent using Jamii Forums mobile app
Draw niliifuatilia itakuwa nimesahau hatua ya nusu ni nani nani... ila barca atafuzu na atakipiga na mmojawapo wa UK...Barcelona na liver hawawez kutana final,
Final ni liverpool vs man city
Man city anachukua ubingwa aaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa, kumbukumbu zangu zilinionyesha Barca-Mancity/Juve, Ajax-Live/porto. Nimekosea, but the fact is Barca atabeba kombechief, Liverpool akiingia fainali Barca atakuwa ameishia nusu fainali.
kukosea kwenye hii fact ndogo tu kunatosha kutia doa kwenye utabiri wako wa kuibeba Spain!
Team za spain mara nyingi zimekuwa zikifanya vizuri katika michuano hii mikubwa ya ulaya kwa ngazi ya vilabu. Zina mikakati haswa pale zinapotinga fainali, hasa kwa Barca na Real Madrid. Hii ni tofauti na vilabu vya Uingereza ambavyo vimepoteza fainali nyingi dhidi ya team za spain. Kuanzia Arsenal 2006, Manu 2009, 2012, Liverpool 2018.
Na endapo Mancity itafuzu usiku wa leo, basi kuna nafasi kubwa ya kwenda mpaka fainali. Kwa upande mwingine karata yangu naiweka kwa Barcelona kufuzu fainal hivyo kukutana na Mancity katika hatua hiyo ya mwisho.
Barca vs Mancity fainali UCL na Barca nawapa nafasi ya kunyanyua ndoo. Save this post.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaahh ni kweli usemalo, mambo mengi yanapunguza ufuatiliaji wa baadhi ya mambo ili kubalance... But miaka 5 nyuma hakuna mechi niliyokuwa nakosa kutizama EPL, LaLiga hivyo kwa sasa nimebaki mshabiki jina ila mwenye historia nzuri ya soka la nyumaMtoa mada unapenda michezo sana hilo wala halina mjadala ila tatizo lako s MFUATILIAJI ungejua ratba ilivyo usingepost Uzi huu but hongerabkwa kupenda michezo hawa ndio huitwa mashabiki jina
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!Barca hana jeuri ya kumfunga Liverpool.
Save this post..
Na ikitokea wakakutana halafu liverpool akafungwa na barca, Nakunya kwa mafungu hadi kwenye geti la Ikulu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Barca hana jeuri ya kumfunga Liverpool.
Save this post..
Na ikitokea wakakutana halafu liverpool akafungwa na barca, Nakunya kwa mafungu hadi kwenye geti la Ikulu...
Sent using Jamii Forums mobile app