bakundande jr
JF-Expert Member
- Oct 22, 2021
- 507
- 674
JIONI YA LEO SAA NGAPI KWA SAA ZA KITANZANIA?Ikiwa ni siku chache zimepita tangu kufunguliwa rasmi kwa msimu wa ligi ya mabingwa barani ulaya (UCL) kwa kupigwa mchezo wa super cup baina ya Manchester City mabingwa wa ligi ya mabingwa ulayq msimu uliopita dhidi ya Sevilla ulioisha kwa city kushinda kwa mikwaju ya penati.
Leo ndio ile siku iliokuwa ikisubiriwa ja wapenzi wa kandanda kufahamu ni timu zipi zitakutaka katika hatua ya makundi katika michuano hiyo.
Katika msimu huu timu ya Manchester City inapewa asilimia kubwa ya kutwaa tena taji hilo ikifuatiwa na vilabu vya real Madrid, Psg bila kusahau mabingwa wa ligi kuu ujerumani the bavarians. Huku washika mitutu toka London pia wakiwa ni miongoni mwa timu zinazopewa chapuo kunyqkuwa taji hilo.
Usikose kufuatilia uzi huu kujua mchakato mzima wa droo hii itakayofanyika jioni ya leo
Itafanyika mishale ya saa mojaJIONI YA LEO SAA NGAPI KWA SAA ZA KITANZANIA?
GOODItafanyika mishale ya saa moja
Pia itafuatiwa na hafla ya utoaji wa tuzo mbalimbali ikiwemo ya mbhezaji bora wa ulaya kwa msimu uliopitaGOOD
sawa sawaPia itafuatiwa na hafla ya utoaji wa tuzo mbalimbali ikiwemo ya mbhezaji bora wa ulaya kwa msimu uliopita
Vamos MadridREAL MADRID BINGWA UEFA
Kama sio barca, basi ni bayern ama psg mmoja lazim muwe naeArsenal tunangojea kwa hamu draw ni mda sana.
Ungeandika tu tuzo ya 'Haaland'....Pia itafuatiwa na hafla ya utoaji wa tuzo mbalimbali ikiwemo ya mbhezaji bora wa ulaya kwa msimu uliopita
Kama sio barca, basi ni bayern ama psg mmoja lazim muwe naeArsenal tunangojea kwa hamu draw ni mda sana.
Kwani ni lini arsenal alikuwa bingwa wa UCL zaidi ya kupigwa khamsa khamsa na bayern?
Uzi ni picha na picha ndio hili.
Hzo ni mtazamo wako maana kuna wengine wanampigia chapuo la pulga kunyakuwa hiyo tuzoUngeandika tu tuzo ya 'Haaland'....
Aaah Wapi!. ile ya world cup inamtosha, hii ya Ulaya ni Haaland tuHzo ni mtazamo wako maana kuna wengine wanampigia chapuo la pulga kunyakuwa hiyo tuzo
Muda ni hakimu mzuri ila itapendeza akipata huyo dogo ili kutoa hamasa kwa vijana wanaochipukiaAaah Wapi!. ile ya world cup inamtosha, hii ya Ulaya ni Haaland tu