Yan mechi ya Leo itaamuliwa na utumiaji mzuri wa nafasi basi hakuna cha ziada kabisa mana timu zote mbili ni viburi wa kumiliki mpira,,,,,,ila raha ya mechi ya Leo ni kuicheki kibanda umiza aisee siyo nyumbani kwakweli mana uko umizani ndo kuna vibe LA maana kudadadeki sipati picha iyo battle ya apo katikati ya uwanja
Kwa mtiti was Bayern niliouona kuanzia kwa Arsenal, Tottenham, Chelsea, Barcelona, Lyon, sihitaji kujitesa kisaikolojia kwa kutabiri mbo magumu sana mwisho nikatizame mechi kwa tabu nasotea utabiri wangu utimie ili nipongezwe hapa.