Huyo raisi wa China kabomoa misingi iliyowekwa na baba wa Maadiriko wa nchi hiyo mzee Deng Xiaoping, amabaye aliibadiri China iachane na sera za Kimasikini za mzee Mao na kwa makusudi ya kufanya hivyo akabadiri katiba ya nchi hiyo ili kutawanya tawanya power kwa watu mbalimbali ili asitokee tena mtu anayejifanya mungumtu kama Mao, Kaingia yule Xijinping kabadiri katiba tena na kujipa power kama alizokuwaga nazo Mao, Matokeo yake wanarudi kule kule kwa zamani!.
Yule Xijinping akifeli kwenye uchumi aandae mabomu ya kutosha kupambana na maandamano ya watu bilioni moja mtaani, ataweza?