sijui sana kwenye ishu za uchumi lakin nadhan kwa hali ya kawaia tu uchumi kupanda na kushuka ni lazima manake haufanyi kazi peke yako wengine pia wana strive kwa iyo kuna wakati lazima tu utajikuta kama nchi unashuka lkn pia ukiongeza bidii unapanda