Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,076
- 4,162
Hapana picha ya utamu kusindikiza thread. πNdio huyo "hookah"?
Lakini big booty kama hiyo?Hapana picha ya utamu kusindikiza thread. π
Lugha za kaskazini huko chuganian. πππmaelekezoo
Kwahiyo wewe ni ruba huwezi kumwacha. ππππLakini big booty kama hiyo?
Bibi yetu alivuta tumbaku OG,Mjani ndo Tiba ya kutoa stress, mapenzi yanaumiza Moyo, na hivi wavuta bangi wanapenda kweli kweli, pole yake huyo jombaa.
Hivi jamani hamjui tafauti ya rafiki wa kike (girlfriend) na mchumba (fiancee). Naona humu kila siku watu wanasema wachumba zao halafu unagundua kuwa hawajawaposa au hata kutambulishwa nyumbani kwao!!!!!πNi mwanangu Sana, yaani mshikaji tu wa kushare nae mawazo mbili tatu, Basi akanidekeree ( kunipigia simu ) kunichana wazi kuhusu maelekezo wake ( mchumba wake )
View attachment 2671014 amefuma meseji zake akimpiga kibomu mchizi boti mwingine akiomba pesa, ile kusearch zingine eeeh bhanaa meseji zingine ametumiwa pesa za sikukuu na kuombwa mtoko wa siku.
Ameshindwa kuvunga amemwonyesha maelekezo wake ( mchumba wake ) kuhusu madhambi yake, maelekezo kajaa kaomba msamaha, kalia
Basi mwamba kafunguka ni miezi michache tu ametoka kwao kutambulishwa na maelekezo wake, kumbe ni hookah, mbaya mbovu kuliko meseji ilielekezwa huyu mchuchu apelekwe location akaliwe na mshua mmoja hapo down town. Mchizi boti ameumizwa kimwili, nafsi na roho mpaka ubongo kisaikolojia. Nimemshauri mwanangu Sana hao maelekezo tuishi nao kwa akili na vibe, chukua rizla nyonga majani ya uzima π¬π¬ vuta ondoa stress za kiboya, ishi kwa amani Kama rastafari.
Sikukuu bado maelekezo amezingua ... ππ
Wahuni mliooa na wenye maelekezo yao take care sikukuu wasiwe vitoweo. π
Ni wachache sana humu JF wataelewa maana ya hii picha
Kuna jamaa yangu ni mla kaya, aisee yule mwamba akinyooka na manzi mmoko ni huyohuyo hapindi hachepuki kama kaoa vile.Mjani ndo Tiba ya kutoa stress, mapenzi yanaumiza Moyo, na hivi wavuta bangi wanapenda kweli kweli, pole yake huyo jombaa.
Ni Mimi na wewe tu tunaelewa.. πππNi wachache sana humu JF wataelewa maana ya hii picha
Siku hizi maisha yamebadilika, hata ukiishi na demu Basi ni mkeo na wazazi wake hawajui na unamzalisha. ππππHivi jamani hamjui tafauti ya rafiki wa kike (girlfriend) na mchumba (fiancee). Naona humu kila siku watu wanasema wachumba zao halafu unagundua kuwa hawajawaposa au hata kutambulishwa nyumbani kwao!!!!!π
Viswahili hivyoπmaelekezoo
Vya wavuta bangi. ππππViswahili hivyoπ