utakuwa umeingizwa choo cha kiume hapo mana hata ndugu hawatambui uchumba
engagement muhimu wangu lakini taratibu lazima zifuatwe pale utakapokuwa tayari kuoa na inafanyika mbele ya wazazi wa mwanamke na ndugu zake na mahari unatoa. cha ajabu vijana siku hizi tunavalishana baa, beach na mashaidi ni marafiki ndo hapo unapokuta mtu anakaa na pete 4yrs. hamna malengo hapo anakuvisha tu kukufurahisha na kupata urahisi wa kukugegeda vizuri maana utamuamini si kashakwambia we ni wangu napete kakupa huna cha kujitetea
i dont understand why do people make fussy about mariage,is just a certificate/ring only..... kama umeishi na mtu na uko happy thats enough,nothing is gonna change when you marry him practically he/she the same i mean life kabla ya ndoa ndio life baada ya ndoa ........... na hakuna kujilaumu kama kaenda kwa mwingine kama ni sex wote mlienjoy,sio kwamba kuna gauge inasoma,the more you do ndio inabecome weary..
Kwani hadi mtu aoe si anamfahamu huyo mpenzi wake kwa undani zaidi?
Unaweza kuvishwa pete ndani ya miaka mitatu hujaolewa na ukawa na tumain la kuolewa tena?
Hapo mwanamke utakuwa na weekness...
umeonaa ee na mwanaume kwann umpotezee muda mwambie mapema akianzishe pengine wamzibia riski akitoka kwako atapata wa kumuoa
Jamani mi kuna swali huwa najiuliza inakuwaje mwanaume amedumu na mpenzi wake zaidi ya mwaka then
anamvisha pete na kila mtu anaona kwa maana hiyo hakuna atakaye msogelea mwanamke huyo ikiwa ni maana ya hiyo pete sijui ndo kifunga uchumba wanavyookiita.
swali langu ni hili umemvisha pete mdada wa watu mwaka wa 1 unaisha, wa 2 unaisha, wa 3 heee hakuna hata dalili ya kuoa au hata kuweka ndani eti unajipanga maisha yakae sawa mwishoni dada wa watu ana approach 40 akitembea na pete ya uchumba hivi huwa mnafikiria nn kuzibia riziki wenzenu kama humtaki mwambie pengine bahati yake ipo inamsubiri.
mbaya zaidi unakuja kumuacha unaoa mwimgine LOL
Wakaka wa wa MMU naomba tuelezane kidogo shida ni nini hapo
nawakaribisha
Mr Rocky Erickb52 @Exellence Mentor kipenzi changu@kiwatengu watu8 Bishanga
wifi Lady doctor mje pande hizi pia
pole sana kwa kipete chako kupata kutu ndio maisha hayo..
Japo HUJANITAJA (Inaelekea hukuona umuhimu wangu kwa thread yako hii) jinsi nilivo na roho ya mchongoma nachangia hivo hivo!!!!!!!! ITS A FREE COUNTRY!!!!!!!!
Uchumba sugu tatizo na solutio yake vote viko kwenye huu usemi
IF YOU CAN GET FREE MILK EVERYDAY WHY KEEP A COW???????????????