Uchizi katika tendo la ndoa

Tan1947

Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
40
Reaction score
42
Tendo la ndoa ni tendo la faragha ambalo ni sehemu ya mahusiano baina ya wapenzi wawili.Kitendo hiki adhimu kila mtu huwa ana namna anavyokichukulia na kukifurahia.

Neno UCHIZI nimelitumia Kwa muktadha wa kitendo cha kumfurahisha ama kumdatisha mtu.Mantiki iliyopo katika tittle ya Uzi huu ni Vitu ambavyo huwa vinawaburudisha Watu katika tendo hilo la ndoa.

Kila mtu anavyo vitu anavyofurahia zaidi katika tendo hilo,Mathalani juzi Kati nilikuta mdada akielezea namna anavyofurahia na kuenjoy zaidi akifanya mapenzi na wanaume wawili Kwa mpigo na pia akaeleza namna ambavyo hupenda kufanya tendo hilo wakiwa wanawake watatu Kwa Jamaa mmoja Kwa mpigo.

Wapo wengine Wao ili wafurahie tendo hilo hupenda walambwe maeneo ya mfereji Maringo na wengine hupenda wapigwe lita mpaka zizini.

Wapo mabinti wengine Wao bila kupitiwa service road hawapati UCHIZI{Hawafurahii tendo hilo}.

Kitu kikubwa kingine ni Kuwa wanawake wengi huwa hawapendi kuweka wazi fantasy ama vitu wanavyofurahia zaidi katika tendo la ndoa na wenzi wao kwani huogopa kuchukuliwa tofauti na wenzi wao.

Ili ufahamu inatakiwa utengeneze mazingira Sana,Vinginevyo kwako atakupa kifo cha mende halafu kwingine ataenda kupata UCHIZI wake.

Kwa upande wangu niliwahi kushangaa Sana kumsikia mdada akisema yeye anaweza kupigwa show kwenye room ambayo kuna Watu wengine!!Lakini mwisho wa siku nikachukulia kawaida

Je ni kitu gani ambacho ulikishangaa Sana baada ya kukijua kuhusu UCHIZI huo?
 
Ndo raha ya kujiajiri. Kama umeajiriwa haya mawazo yako kwa siku kama ya leo watakiwa pimwa mkojo.
 
Haya mambo tutayajadili mida ya jioni saizi tuna frustration za wakuu wetu
 
Hee kwa hiyo local channels wanazitoa hadi Star times?
 
Vp leo naskia kuna usajili mkubwa chama dola, mamvi rudi nyumbani, nyumbani kumenoga.
 
Umeongea ukweli mtoa mada ila tu muda wake ni jioni hasa.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Jf raha sana, jamaa kajikunja kuanzisha uzi huku majamaa wanajadili dstv, mpira na chaguzi ndogo mamamamaeeeeeee
 
jana aseno walicheza na city au mech ilihairishwa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…