kadyuwegenigga Member Joined Jun 4, 2015 Posts 30 Reaction score 2 Aug 30, 2015 #1 jana nimemwona msanii wa maigizo maarufu kama bongo movie akisema atapita kila nyumba kuwaamashisha watu kuipingia kula CCM mimi ninawasubiri mtaani
jana nimemwona msanii wa maigizo maarufu kama bongo movie akisema atapita kila nyumba kuwaamashisha watu kuipingia kula CCM mimi ninawasubiri mtaani
Cham Bee JF-Expert Member Joined Feb 10, 2015 Posts 3,516 Reaction score 1,856 Aug 30, 2015 #2 Ana haki ya kuongea kwa sababu keshakula chake.
M2mish Member Joined Jun 12, 2014 Posts 26 Reaction score 7 Aug 30, 2015 #3 Asipite kwangu maana hana lakunibadirisha la ziada kwenye chama chao..
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,023 Reaction score 13,370 Aug 30, 2015 #4 Unamsubiri umsikilize au?
M Mbudi JF-Expert Member Joined Apr 14, 2013 Posts 597 Reaction score 162 Aug 30, 2015 #5 hahahaha anahisi atapewa udc
M Mssassou JF-Expert Member Joined Jun 17, 2015 Posts 1,537 Reaction score 597 Aug 30, 2015 #6 kadyuwegenigga said: jana nimemwona msanii wa maigizo maarufu kama bongo movie akisema atapita kila nyumba kuwaamashisha watu kuipingia kula CCM mimi ninawasubiri mtaani Click to expand... Akiingia ndani mwangu namwita mwiziiiiiiiiiiiiiiii
kadyuwegenigga said: jana nimemwona msanii wa maigizo maarufu kama bongo movie akisema atapita kila nyumba kuwaamashisha watu kuipingia kula CCM mimi ninawasubiri mtaani Click to expand... Akiingia ndani mwangu namwita mwiziiiiiiiiiiiiiiii
Mmasihiya JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 389 Reaction score 172 Aug 30, 2015 #7 Katambulishwa kama kiongozi wa umoja wa wasanii sijui kama kina Vitalis Maembe wanamjua huyu kiongozi wao.....:
Katambulishwa kama kiongozi wa umoja wa wasanii sijui kama kina Vitalis Maembe wanamjua huyu kiongozi wao.....:
I issenyestore JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 300 Reaction score 69 Aug 30, 2015 #8 kadyuwegenigga said: jana nimemwona msanii wa maigizo maarufu kama bongo movie akisema atapita kila nyumba kuwaamashisha watu kuipingia kula CCM mimi ninawasubiri mtaani Click to expand... Una nyumba! Ache aje kwetu wenye Nyumba karibu Steve Nyerere
kadyuwegenigga said: jana nimemwona msanii wa maigizo maarufu kama bongo movie akisema atapita kila nyumba kuwaamashisha watu kuipingia kula CCM mimi ninawasubiri mtaani Click to expand... Una nyumba! Ache aje kwetu wenye Nyumba karibu Steve Nyerere
P pantaleokuroba Member Joined Jul 29, 2015 Posts 88 Reaction score 16 Aug 30, 2015 #9 Mi namsubili nimumwagie ----- maana kakosa kazi ya kufanya bongo movie imemshinda.
Ngonidema JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 2,775 Reaction score 2,750 Aug 30, 2015 #10 Na mimi najiandaa kumpa ushaur wa kuachana na ukuwadi
A Arie power JF-Expert Member Joined Jun 29, 2015 Posts 2,552 Reaction score 1,020 Aug 30, 2015 #11 Tena kwangu asithubutu atajuta kuzaliwa.
K katusyo JF-Expert Member Joined Oct 31, 2013 Posts 1,455 Reaction score 434 Aug 30, 2015 #12 Apite Na Mtaani Kwangu, Wamezoea Hawa Wametuona Watanzania Hatuna Akili Kabisa, Yani Hata Hawa Viduduwatu Wanaona Wanaushawishi Wa Kushawishi Watu! Mmetuzoe Sana October Sio Mbali
Apite Na Mtaani Kwangu, Wamezoea Hawa Wametuona Watanzania Hatuna Akili Kabisa, Yani Hata Hawa Viduduwatu Wanaona Wanaushawishi Wa Kushawishi Watu! Mmetuzoe Sana October Sio Mbali
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,656 Aug 30, 2015 #13 Mbona kampeni za mtaa kwa mtaa zimekatazwa??? Au chama tawala wanaruhusiwa kufanya kampeni za mtaa???
Mbona kampeni za mtaa kwa mtaa zimekatazwa??? Au chama tawala wanaruhusiwa kufanya kampeni za mtaa???