Habari zenu wakuu.
Naombeni msaada wenu kwa mwenye ufahamu, gharama halisi za uchimbaji wa kisima kwa ajili ya umwagiliaji, yaani kilimo cha umwagiliaji.

Gharama inategemeana na mkoa ulipo kwa dar mita moja ni tsh 80000 na mikoani ni tsh 10000 hapo ni kila kitu kuanzia pump ,Pvc,Tank na flashing kwa mahitaji ya kuchimbiwa kisima wasiliana kwa no 0755485807

Mimi nahitaji kwa ajili ya matumizi ya home kweli tuandikishiane mkataba kabisa ukinipatia nakupa 3,000,000 njoo na shahidi kabisa na yeye awake sahihi yake

Kwa walioko Arusha mtafuteni huyu mtu (Dula..0766241113). Mimi kanichimbia kisima huku Moshono na tumepata maji ya kutosha lt 10000 tank linajaa mara moja na hayana chumvi.
Note: Anachimba kwa mkono
Kama mwamba ni mgumu kuna sehemu atalazimika kulipua baruti
Bei mnaelewana but anaanzia 2 million