Waliofanya mtihani mwaka huu wana kazi kubwa sana kwa sababu maana sasa hayo matokeo lazima yachakachuliwe kiaina ili yakitangazwa wote wawe wamefaulu ili ionekane serikali sikivu, walijiua Kidato cha Nne kwa hiyo lazima maafa yasitokee kidato cha Sita