Naomba mkumbuke kuwa South Africa ina chuo kikuu kinatoa degree (bora) ya uchawi,Yaan kwa tafsiri nyingne wakitaka mganga wanachukua wale waliomaliza na G.P.A kubwa wanakuja nae bongo.
Mzee hoja zako zinakinzana, na inaelekea hauna kitu unachosimamia. Umesema South africa wanacho chuo kinachotoa degree ya uchawi. Wakati huo huo unasema usiaminishwe kuwa utashinda kwa uchawi. Sasa tukuelewe kwa lipi, kwamba SA ni wachawi na wana chuo bora, au watu wasiamini kushinda kupitia uchawi?... South Africa ina chuo kikuu kinatoa degree (bora) ya uchawi, yaan kwa tafsiri nyingne wakitaka mganga wanachukua wale waliomaliza na G.P.A kubwa wanakuja nae bongo.
...Usiaminishwe utashinda kwa uchawi,...
Mechi ni Simba dhidi ya Kaizer ila mnaoweweseka ni utopolo... Tulia mamu
Mkuu uzi wangu ulipaswa kuusoma ukiwa umeacha kazi zako zote umerelax ndo utaelewa.Simba wanategemea uchawi means wanaamin kwa uchawi wataifunga Kaizer kitu ambacho siyo kweli maana na wao ni bora kwa uchawi.So waplan tu kupiga mpira.Mzee hoja zako zinakinzana, na inaelekea hauna kitu unachosimamia. Umesema South africa wanacho chuo kinachotoa degree ya uchawi. Wakati huo huo unasema usiaminishwe kuwa utashinda kwa uchawi. Sasa tukuelewe kwa lipi, kwamba SA ni wachawi na wana chuo bora, au watu wasiamini kushinda kupitia uchawi?