Kiwalani finest
Senior Member
- Jul 6, 2024
- 116
- 85
Uchawa ndio nini kwani?UCHAWA NI JANGA LINALOITAFUNA NCHI KIMAADILI
Sisi tuendelee na kukemea Uchawa kwanza. Mifumo ya nchi inavurugika kutokana na Uchawa. Mtu Akiwa chawa anakuwa ameukana Uzalendo wake kwa nchi. Tuutokomeze Uchawa ili watu waone fahari kujiita ndugu au Comrade.
Tukifaulu hapa Watu watasoma Ilani, Katiba, Kanuni, Miongozo na Taratibu. Watu watajisikia fahari kutetea vitu hivyo kuliko Sasa. Wakimuona mtu anakumbushia vitu hivyo kwa uchawa wao wanamuona Mshamba
Wanaamini kwenye Ubinafsi na uchoyo Kuliko ujamaa. Tusichoke kutoa Elimu.
Tusome Katiba ya CCM 1977 toleo 2022 ibara 07 Kisha ibara 08 (1)(2)(6) ibara yote ya 15 ibara 12(1)(a) ili kwenda uk 152 Ahadi za Mwanaccm tukihitimisha na ilani uk 01 ibara 04 na uk 08 ibara 10 na 11
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mathias Mugerwa kahinga
Waendelee tu na uchawa wao, hata wakiwa kunguni au viroboto ni sawa tu ili wapate ugali wao kwa kutweza utu wao.UCHAWA NI JANGA LINALOITAFUNA NCHI KIMAADILI
Sisi tuendelee na kukemea Uchawa kwanza. Mifumo ya nchi inavurugika kutokana na Uchawa. Mtu Akiwa chawa anakuwa ameukana Uzalendo wake kwa nchi. Tuutokomeze Uchawa ili watu waone fahari kujiita ndugu au Comrade.
Tukifaulu hapa Watu watasoma Ilani, Katiba, Kanuni, Miongozo na Taratibu. Watu watajisikia fahari kutetea vitu hivyo kuliko Sasa. Wakimuona mtu anakumbushia vitu hivyo kwa uchawa wao wanamuona Mshamba
Wanaamini kwenye Ubinafsi na uchoyo Kuliko ujamaa. Tusichoke kutoa Elimu.
Tusome Katiba ya CCM 1977 toleo 2022 ibara 07 Kisha ibara 08 (1)(2)(6) ibara yote ya 15 ibara 12(1)(a) ili kwenda uk 152 Ahadi za Mwanaccm tukihitimisha na ilani uk 01 ibara 04 na uk 08 ibara 10 na 11
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mathias Mugerwa kahinga
Ngoja aje yule chawa mwandamizi Lucas MwashambwaUCHAWA NI JANGA LINALOITAFUNA NCHI KIMAADILI
Sisi tuendelee na kukemea Uchawa kwanza. Mifumo ya nchi inavurugika kutokana na Uchawa. Mtu Akiwa chawa anakuwa ameukana Uzalendo wake kwa nchi. Tuutokomeze Uchawa ili watu waone fahari kujiita ndugu au Comrade.
Tukifaulu hapa Watu watasoma Ilani, Katiba, Kanuni, Miongozo na Taratibu. Watu watajisikia fahari kutetea vitu hivyo kuliko Sasa. Wakimuona mtu anakumbushia vitu hivyo kwa uchawa wao wanamuona Mshamba
Wanaamini kwenye Ubinafsi na uchoyo Kuliko ujamaa. Tusichoke kutoa Elimu.
Tusome Katiba ya CCM 1977 toleo 2022 ibara 07 Kisha ibara 08 (1)(2)(6) ibara yote ya 15 ibara 12(1)(a) ili kwenda uk 152 Ahadi za Mwanaccm tukihitimisha na ilani uk 01 ibara 04 na uk 08 ibara 10 na 11
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mathias Mugerwa kahinga
Kama anavyofanya chawa Lucas MwashambwaAjira hakuna mkuu. Kutwa nzima tunaunga mabando na kuchungulia Ajira portal kama kuna updates. Vijana wameamua kuwa chawa huenda watakumbukwa. Uchawa ni kujikatia tamaa, ndio tulipofikia
Maana rahisi kabisa ni kama ulivyo wewe, Tlatala na Mwashambwa. Ukiwa hivyo ndiyo unaitwa chawa.Uchawa ndio nini kwani?
Umenena vema mkuu.Maana rahisi kabisa ni kama ulivyo wewe, Tlatala na Mwashambwa. Ukiwa hivyo ndiyo unaitwa chawa.
Chawa ni mtu asiyeutumia ubongo wake kufanya analysis yoyote ile. Yeye anachojua ni kumsifia tu mtu bila ya kujali huyo anayemsifia amefanya vyema au vibaya.
Tangu lini kumsifia mtu aliyefanya vyema ikawa uchawa?Maana rahisi kabisa ni kama ulivyo wewe, Tlatala na Mwashambwa. Ukiwa hivyo ndiyo unaitwa chawa.
Chawa ni mtu asiyeutumia ubongo wake kufanya analysis yoyote ile. Yeye anachojua ni kumsifia tu mtu bila ya kujali huyo anayemsifia amefanya vyema au vibaya.
Huyo Simbilisi kiwango chake ni PhD.Ila jamani kama ni uchawa mwashambwa ana kiwango cha diploma.