Mimi binafsi nakatwa kwenye mshahara wangu 25,000 kila mwezi tangu mwaka 2006, lakini kwa uzembe wa bodi watu wengi hawalipi hasa mawaziri, wabunge n.k.
kila nchi duniani inaaidia watoto wake ili waweze kusoma, ni ajabu kuona Tanzania ya leo haitaki kusomesha watoto wake. Nchi kama India, ukifaulu tu, mkopo unakusubiri.