Hivi utaratibu wa kupiga kura kuwachagua viongozi unaowataka mpaka urudi ulikojiandikishia? kwa nn kusiwe na mfumo wa kupigia kura sehemu uliyopo ilimradi tu umejiandikisha kama nchi za wenzetu! naomba maoni yenu wana JF maana mimi kupiga kura ni ngumu kulingana na hiyo sheria, tukiendelea hvo ni ngumu kuwang'oa hao mapapasi wanaotunyonya daily.