Habari
Hivi nashindwa kuelewa nini kiini cha haya yote kwamba Jimbo la Iringa mjini kata ya nduli kuna uchaguzi wa udiwani tarehe 09/01/2014 lakini kinachonifurahisha ni kwamba, CHADEMA wanatumia nguvu kubwa sana kufanya kampeni hizo utadhani ni uchaguzi wa mbunge.
Yaani makamanda wote wa chama kuanzia Mhe. Dr. Slaa, Halima Mdee Sugu, na Mbowe wote wametia timu Iringa kuongeza nguvu kwenye uchaguzi wa udiwani.
Hebu mnisaidie hivi kuna effect yoyote kwa diwani kupita wa chama fulani au kutopita hasa ukizingatia muda wenyewe wa kufikia uchaguzi ujao umekaribia??
hata kama kweli wamepita, wewe hujui kwamba wana opd nchi nzima?Habari
Hivi nashindwa kuelewa nini kiini cha haya yote kwamba Jimbo la Iringa mjini kata ya nduli kuna uchaguzi wa udiwani tarehe 09/01/2014 lakini kinachonifurahisha ni kwamba, CHADEMA wanatumia nguvu kubwa sana kufanya kampeni hizo utadhani ni uchaguzi wa mbunge.
Yaani makamanda wote wa chama kuanzia Mhe. Dr. Slaa, Halima Mdee Sugu, na Mbowe wote wametia timu Iringa kuongeza nguvu kwenye uchaguzi wa udiwani.
Hebu mnisaidie hivi kuna effect yoyote kwa diwani kupita wa chama fulani au kutopita hasa ukizingatia muda wenyewe wa kufikia uchaguzi ujao umekaribia??
mkuu ishu sio udiwani hapo lengo ni kumuondoa shetwani ccm na sio iringa tu ni kona zote tanzania,hongera sana watu wa iringa kasoro chris lukos.
Habari
Hivi nashindwa kuelewa nini kiini cha haya yote kwamba Jimbo la Iringa mjini kata ya nduli kuna uchaguzi wa udiwani tarehe 09/01/2014 lakini kinachonifurahisha ni kwamba, CHADEMA wanatumia nguvu kubwa sana kufanya kampeni hizo utadhani ni uchaguzi wa mbunge.
Yaani makamanda wote wa chama kuanzia Mhe. Dr. Slaa, Halima Mdee Sugu, na Mbowe wote wametia timu Iringa kuongeza nguvu kwenye uchaguzi wa udiwani.
Hebu mnisaidie hivi kuna effect yoyote kwa diwani kupita wa chama fulani au kutopita hasa ukizingatia muda wenyewe wa kufikia uchaguzi ujao umekaribia??
Kama mpaka umri huu hujui umuhimu wa diwani utakuwa hauko sawa!