Uchaguzi wa CUF

Joined
Jul 8, 2013
Posts
54
Reaction score
76
Vurugu zilizojitokeza jana katika mkutano mkuu wa dharura wa Chama cha Wananchi CUF zinatoa taswira gani juu ya ukuu wa katiba za vyama vya siasa na ukuaji wa demokrasia?

Twende uwanjani.Maoni yenu nitayafanyia kazi katika makala yangu katika gazeti la Mwananchi.
 
Wajumbe 152 wapiga kura 364 katiba imebadilishwa lini? Hii ndio CUF katika ubora wake wa ongezeko la KURA
 
Lipumba hatakiwi. Aache. Cheo si alijiuzuru mwenyewe sasa anafuata nini? Akae huko huko..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…