S Sandagila Mgaya New Member Joined Jan 1, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Mar 21, 2012 #1 Tume ya uchanguzi inadai kutumia daftari la zamani la kupigia kula. Je hakuwa watu waliofikisha umri wa miaka 18 tangia hapo? Ukweli ni kwamba haki za watu zimevunjwa.
Tume ya uchanguzi inadai kutumia daftari la zamani la kupigia kula. Je hakuwa watu waliofikisha umri wa miaka 18 tangia hapo? Ukweli ni kwamba haki za watu zimevunjwa.
Kurunzi Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 10,198 Reaction score 11,632 Mar 21, 2012 #2 Mimi natamani daftari lifutwe lote lianze upya kwa uwazi.