Uchaguzi Serikali za mtaa 2014

danhort

Member
Joined
Oct 4, 2014
Posts
18
Reaction score
1
Samahani wadau, HV nigharama kiasi gani zinatumika kuendeshea uchaguzi huu?

Imagine kata moja inamitaa 9 hii Inamaana kwamba kuna wasimamizi wasaidizi 9.

Assume @ analipwa 25,000 per day × 30 = 750,000/= * 9 = 6,750,000 kwa KATA moja vipi kwa halmashauri na taifa kwa jumla??? Nini kifanyike???
 
hivi kampeni zinaanza lini ?mana huku kwetu hakuna dalili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…